CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee..... chama la wajanja,chama kuuuuuuubwaaa...

sikupingi na wala sikuungi mkono naamini katika
uhuru wa kutoa maoni.
ila nadhani ukubwa we chama na idadi ya wajanja
siyo tija la msingi sana katika nchi hii ni nidham na
uzalendo hata kama chama ni kidogo na hakina watu wajanja
kama kina watu wazalendo ndyo la msingi.

ME NADHANI ELEZEA NIDHAM NA UZALENDO WA VIONGOZI
WAKO NA WANACHAMA KWA UJUMLA KUIHUSU NCHI AHSNTE
...................NAOMBA KUWAKILISHA...................................
 
Hongereni maana safari hii mme resit mitihani ya form 4 2012,badala ya wanafunzi ku resit.mna akili sana
 
Uzalendo kwanza endelea kupongeza chama,we usifikiri utaifanyia nini Tanzania kwa faida yako na vizazi vyako ngojea kufanyiwa.
 
Hivi hapa ni wapi?
Maana nilidhali hili cha CCM lipo sokoni.
Maana nilikuja mitaa kutafuta aseti fulani hivi nakutana na huu uzi!
 



"vua gamba vaa gwanda"
 
Liberal Thoughts!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…