Now we have to focus on positive change. CCM in power for 58 yrs and we still fighting ignorance, diseases and poverty while the song is still the same: ''vote for us"
CCM must go! Its replacement will be covering by crality.
Nilikua ninaongea na swahiba yangu hapa sasa hivi. Nyerere alisema ili tuendelee tuna jirani, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Ardhi tunayo, tulichokosa ni siasa safi na uongozi bora.
There is also something changes after three Ploblems Identified By Mwalimu Nyerere,Disease ignorance anad povety there is ana emergency of new Ploblem which is CCM. chama cha mapindi.
Uchaguzi huu watu wamechoka kusikia habari za maendereo ya Magufuli huku wakiishi kwa hofu, watu wanataka kuona upinzani utafanya nini, hasa katiba mpya na utawala bora unaohaidiwa na Lissu.
miaka mitano ya Magufuli tunaishi kwa hofu, maendereo ya aina yoyote hayana maana, nyomi za lissu ni kwa sababu watu wamepata natumaini ya kuwa huru tena na kuishi kwenye nchi ya haki.
Mwanzo nilijua masihara lakini sasa naona kuna ukweli, kuna baadhi ya viongozi wamejiandaa kukimbia. Kuna wanne wameondoa hela zao zote CRDB na kuzihifadhi nyumbani.
The founder of TANu and the founder of Sisiemu is the same person Nyerere , As well ccm transformed from Asp and Tanu, means Ccm came from the wombs of TANU In simplest estimation Ccm have ruling power Almost 58 yrs. Under the same people.

WRONG AGAIN.
Unajua maana ya Mapinduzi kwenye CCM , jina lilikujaje?
Na je unajua kwamba Mwenyekiti wa kuunganisha TANU na ASP alikuwa mzee Thabit Kombo?
Mwanzo nilijua masihara lakini sasa naona kuna ukweli, kuna baadhi ya viongozi wamejiandaa kukimbia. Kuna wanne wameondoa hela zao zote CRDB na kuzihifadhi nyumbani.