figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,606
- 62,364
Wanaotaka Reforms ndani ya CCM ni wengi sana na walio na nguvu, tatizo kubwa ni mfumo wa ukweli na uwazi haupo CCM, pamoja na suala la "kofia mbili" ambalo linatumika kumfunga mdomo yeyote ndania ya chama na nnje ya chama kwa atakayekuwa "anawashwawashwa".Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣
View attachment 3410888
Akili mingi jeshi la MTU moja hadi mangi kaomba po na washirika wakeLissu ni mtu hatari sana.
Hili kombe Chelsea anabeba wasisahau winga teleza anacertificate ya cubaZandani zinasema sa100 amesusa na hataki tena, makombora yamemuelemea msoga anakula kupitia mgongo wake. sasa anaona bora akalee tu wajukuu awaachie kiti chao
kwahio ccm wamekaa wanajadili ajenda za chadema au sioSasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣
mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888
🤣 🤣 watu wa chadema banaHata chawa wake hawamtaki ni vile wanapatiamo hela ya kula
NO REFORMS NO ELECTIONSasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣
mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888