CCM NI ZAIDI ya MAFURIKO Jangwani

CCM NI ZAIDI ya MAFURIKO Jangwani

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]CCM NI ZAIDI YA MAFURIKO JANGWANI LEO[/h]

​
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani.
​
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha
​
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 -2020
​
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan ilani ya uchaguzi ya CCM kwenye uzinduzi wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jangwani.
​
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakionyesha Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015-2020 katikati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ndiye aliwakabidhi ilani hiyo kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani.
​
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakizungumza baada ya kukabidhi ilani kwa mgombea wa CCM
​
Umati wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani.

​

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa jiji la Dar es salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Jangwani.
​
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam.




​
Hii ndio CCM
​
TOT wakitoa burudani kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM jijini Dar es Salaam.


​
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM jijini Dar es Salaam.
​
Wasanii wa bongo wakiwa jukwaani.
 
[h=3]CCM WAFUNIKA VIWANJA VYA JANGWANI[/h]

11898749_679123862189470_8944490428627987613_n.jpg



11880353_10153893145390839_6016322606402392269_n.jpg



SAM_2209.JPG

Screen kubwa iliyofungwa jukwaani kwa ajili ya kutoa matukio live kwa walio mbali.



Bendera za CCM zikiwa zimezunguka uwanjani hapo.





Wanachama wa CCM wakishangilia mara baada ya kuwasili Jangwani.





Wana CCM wakiingia kwa mbwebwe uwanjani.





Bango kubwa la mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli likiwa pembezoni mwa viwanja vya Jangwani.





Wanachuo mbalimbali wakiingia viwanja vya Jangwani.





Msululu wa wanachama wa CCM wakiingia uwanjani.​

 
Mbona hujapiga picha na malori ili sasa tujue kati ya hayo malori either nusu walikuwa watu wa mikoani au la!!
 
Magufuli watu walikaa kwenye viti na wengine kusimama. Walikuwa kiduchu hata 15000 hawafiki.
 
UDA zilisomba watu
Fuso, Malori, Costa, Pikipiki, zote hizi zilisomba watu kuja kuwaona
Bado mkawapa madela na shati
Pamoja na hayo yote mkawawekea viti pia.... hii inafanya watu waonekane wengi

Bila kusahau wasanii mliowalipa kufanya show....
Hebu picha picha kichwani mwako endapo
Watu wasingesafirishwa
Show isingekuwepo
Viti visingekuwepo
 
Mbona hujapiga picha na malori ili sasa tujue kati ya hayo malori either nusu walikuwa watu wa mikoani au la!!

Ungewajuaje kama sio unafiki wewe, mafusso yalikuwa yakutosha, na mmezoe kusafirisha kwa malori kafara kama kawaida yenu, na mwaka huu lazima mkae..!!
 
Back
Top Bottom