CCM ni mkoloni mpya Kwa Tanzania

covering risks

Senior Member
Mar 13, 2015
125
124
Bila shaka kila Mtanzania wa leo ambaye anampenzi mema na nchi yetu Tanzania amejiridhisha pasipo shaka kuwa babu zetu na wazee wetu walifanikiwa kupambana na utawala wa mzungu ambaye tulimuita mkoloni Kwa sababu ya matendo yake kwa waafrika,
Ukitazama malengo ya kumtoa mkoloni yaklikuwa ni mazuri,hasa suala zima la Uhuru wa kujiamulia mambo yetu,lakini sasa amekuja mkoloni ambaye tunaishi naye nyumba moja naye si mwingine ni CCM na vyombo vyake, mkoloni alitumia nguvu kuitawala Tanganyika ndivyo ilivyo Kwa ccm kutumia jeshi dola kuendelea kutawala.
 
Bila shaka kila mtanzania wa leo ambaye anampenzi mema na nchi yetu Tanzania amejiridhisha pasipo shaka kuwa babu zetu na wazee wetu walifanikiwa kupambana na utawala wa mzungu ambaye tulimuita mkoloni Kwa sababu ya matendo yake Kwa waafrika,
Ukitazama malengo ya kumtoa mkoloni yaklikuwa ni mazuri,hasa suala zima la Uhuru wa kujiamulia mambo yetu,lakini sasa amekuja mkoloni ambaye tunaishi naye nyumba moja naye si mwingine ni ccm na vyombo vyake,mkoloni alitumia nguvu kuitawala Tanganyika ndivyo ilivyo Kwa ccm kutumia jeshi dola kuendelea kutawala,

Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidi ingawa CCM ni makatili zaidi. Hasa hii the so called CCM mpwa. Wamenyansasa sana RAIA hii awamu ya tano
 
1590302438642.png
 
Mbona mnakuwa na akili ndogo na kukosa shukrani? Wakati ule mafisadi wanaiibia nchi yetu,mlisema Ccm chama cha mafisadi. Amekuja JPM kawadhibiti mafisadi mnasema eti ndio wajibu. Kudhibiti ufisadi sio jambo dogo lazima uwe na moyo mgumu kama wa JPM.
Hebu tupe taarifa ya ziliko 1.5 tillion
 
Mbona mnakuwa na akili ndogo na kukosa shukrani? Wakati ule mafisadi wanaiibia nchi yetu,mlisema Ccm chama cha mafisadi. Amekuja JPM kawadhibiti mafisadi mnasema eti ndio wajibu. Kudhibiti ufisadi sio jambo dogo lazima uwe na moyo mgumu kama wa JPM.
Mafisadi gani wamedhibitiwa?Hivi sasa hakuna ufisadi Tanzania? Mahakama ya mafisadi imeshahukumu kesi ngapi hadi sasa?Zile Trillion 1.5 zilienda wapi na nani aliwajibishwa?Zabuni ya kununua ndege kwa cash ilikuwaje?
Mambo ni mengi muda in mchache,sifahamu kama utajibu ila mnamtia aibu kwa kumsifia hata anapokosea.Ubishi wenu utawatokea puani one day.
 
Ona sasa unaulizia upuuzi kabisa.
 
Attachments

  • Sakata_la_Trilioni_15_latolewa_majibu_Bungeni.3gp
    2.5 MB · Views: 1

Huyu mdada alitakiwa kupata TUZO kwa ujasili Wake wa kuikosoa serikali pale inapoleta siasa za maji taka. Sijui kama kuna Taasisi yeyote iliyompa huyu msomi Tuzo , maana sina kumbukumbu.

Kimsingi maneno ya serikali yetu yanaboa sana, wakati mwingine wanajisahau mpaka unajiuliza, hivi hawa hawajui kuwa kuna kesho na kesho kutwa.
 
Wanatuona wote sawa na watoto wa chekechea
 
Back
Top Bottom