Nadhani na uzee nao unachangia kwa hawa wazee kuwa na kauli hizi..Ila inaonekana dhairi kuwa bashe hakubaliki ndani ya wazee hawa...
Sioni watu jasiri kwenye CCM wakuweza kufanya mapinduzi kama yaliyofanyika KENYA..sie watz tunaweza kuongea weee pasipo vitendo....Km watz tungekuwa na ujasiri kama wa watu wa tarime ambao ni kama wakenya tu..tungeweza kuibadilisha na kuipa nidhamu CCM
Naskia hili zengwe limeanzishwa na mtoto wa mzee wa kaya.. Kama ilitokea kwa masuni atakuwa Bashe? Yanayotokea ndani ya Chama cha Majungu ni kama mtu aliyekula akavimbiwa akaamu kijitapisha sasa njaa imemkaba ameamua kuyala yale yale matapishi ili kusitiri njaa...
Huu ndio uzuri wa kuwa mwanaJF, kweli hapa ndipo watu wanye akili timamu na wanye uchungu wa nchi yao hukutana, Hivi huyu dogo anakiendesha chama cha majungu kama naniiiiiiiiiii?, halafu juzi juzi tu ndio kamaliza chuo na kuanza kazi hapo BRELA atawezaji kumiliki jengo la gorofa kadhaa moro, kama si kutaka kuendelea au kutaka kulindwa na serikali.Jamani eeeeeh tuungane tuwamng'oe dingi yake madarakani kisha tuwachunguze uhahali wa mali zao kisha tuwafilisi kwa manufaa ya uma sio kama Liyumba walivyomlinda.
Slaa mwendo ule ule Baba tumechoka kunyanyaswa na kufisadiwa na serikali ya CCM.
Upinzani wakiungana na kusimamisha mgombea mmoja, Mkuu wa Kaya CHALI kama ya mende.
Naskia hili zengwe limeanzishwa na mtoto wa mzee wa kaya.. Kama ilitokea kwa masuni atakuwa Bashe? Yanayotokea ndani ya Chama cha Majungu ni kama mtu aliyekula akavimbiwa akaamu kijitapisha sasa njaa imemkaba ameamua kuyala yale yale matapishi ili kusitiri njaa...
Onother umbeya jf. Sidhani kama anajeuri hiyo. Aitoe wapi. I said again this is onother umbeya.
NAWAHABARISHA WAKEREKETWA WA CCM KUWA CCM SI MALI YAO ILA NI MALI YA MAKAMBA NA MSEKWA.
HAWA WAHESHIMIWA WAMETOA KAULI ZINAZODHIHIRISHA HAYA.
Hivi maneno yao ya nyodo na dharau yanapishana na ya Mwenyekiti wao ? Unajuaje hawatumi kusema wanayoyasema ? Mbona unataka kuwaonea Msekwa na Makamba ? Aliyesema hataki kura za wafanya kazi mbona unamsetiri ?Kauli hizi na nyingine vyingi zinathibitisha kuwa CCM ni chama cha watu hawa wawili,KWANI WAO HUWEZA KUSEMA MANENO YA NYODO AU DHARAU NA KUAMUA MAMBO MENGI WENYEWE BILA VIKAO MUHIMU VYA CHAMA,
Kuwang'oa Makamba na Msekwa pekee kutasaidia nini kama mlinzi mkuu wa mafisadi yuko pale pale kajaa tele. Je, Makamba anaweza kukohoa mbele ya Rostamu au Msekwa atasema nini mbele ya Chenge. Mkuu Tonge kwenye hii vita tusimwonee yeyote haya, Makamba na Msekwa ni kama matawi tu, mizizi ndio yahitaji kung'olewa. Humwui nyoka kwa kumkata mkia, unamponda kichwa !Je wanachama mliopo mnangoja nini? kwani hawa wanao uwezo wa kuwalinda wale wawatakao kama ilivyotokea kwa Iringa nk.Hameni muwang'oe madarakani kama kundi la wanachama wa KANU waliohama wakiing'oa KANU madarakani.Karibuni CHADEMA tuungane kuking'oa Chama Cha Majungu (CCM).