magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,338
Salaam
Wanabody..!
Kumekuwa na kauli nyingi za kuwatisha wanaccm na kuwaaminisha wananchi kuwa eti kuna mwanaccm bora zaidi kuliko mwingine..! Haya ni matusi kwa chama ambacho ni kikongwe hapa nchini na Africa kwa ujumla.
Nataka kuwaondoa shaka wanachama,wapenzi,wakereketwa na washabiki wa chama cha mapinduzi,kuwa ccm ni maarufu zaidi kuliko hao wagombea wote wa nafasi ya juu kabisa ktk Taifa letu.
CCM ina katiba yake,ina kanuni na taratibu za kupata wagombea wake ktk nafasi zote za uongozi.
Wagombea wote wa nafasi ya urais,huo umaarufu wanaojidai nao wameupata ndani ya ccm na wanaendelea kuwa maarufu ndani ya ccm. Nje ya ccm hawana lolote..!
Atakayeteuliwa,hatateuliwa kutokana na umaarufu wake,atateuliwa kwa kufuata sifa na vigezo vilivyowekwa na si umaarufu wa mtu.
Namaliza kwa kusema,kila mgombea ajiandae kisaikolojia km anavyoonekana kujiandaa waziri mkuu Mizengo Pinda,huyu ndo mgombea ambae hana pressure kwa matokeo yoyote yale..! Atakayesimamishwa na CCM hata km hajulikani kabisa,kuanzia sekunde ya kwanza ya kutangazwa kwake,kila mtu atataka amjue..!!
Kidumu chama cha mapinduzi.