CCM ni lazima tutashinda kwa kishindo kikubwa

CCM ni lazima tutashinda kwa kishindo kikubwa

hatibu juma

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
278
Reaction score
37
CCM n chama kikubwa sana hakimtegemei mtu mmoja wala mtu mmoja hawezi hakakigawa chama walikuwepo wengi walitoka ndani ya ccm akiwemo Maalim Seif,sSaa,Mrema lakini chama bado kipo na kitaendelea kuwepo.
 
Watu wanaogopa kufa njaa. Tehe
Mshazoea kuishi ki mazoea ndio tatzo
 
ccm itashinda ila sio kwa kishindo, upinzani utakuwa mkubwa sana na naamini kabisa hakuna mwenye uhakika wa kushinda kirahisi, upepo huu ni mkali yoyote unaweza kumpindua na watu wabaki midomo wazi
 
wewe acha kukariri tanzania ya leo watu wake wameamka tofauti na zamani.Afu ujasili wa kusema ccm itashinda kwa kishindo unaupata wapi,kweli magamba mmepagawa.
 
ccm hakuna mungu mutunwalijifanya mungu mutu wameondoka na ccm itabaki imara,kazi aliyoifanya nyerere haiwezi kufutwa na watu wenye tamaa a ikulu bila sifa,
 
Unajua ishu ni kwamba,walikuwepo ndani ta CCM pia wantaka kutoka sema hawana ubavu huo kutokana na mambo mengi,ikiwepo rushwa,wizi na madhambi mengi waliyonayo;hivyo kutoka ni kutojihakikishia usalama wao.

Kingine ni CCM sio chama cha siasa ni chama cha wachache kujinufaisha. Its an enterprise for the few and not a political party for many.
 
CCM n chama kikubwa sana hakimtegemei mtu mmoja wala mtu mmoja hawezi hakakigawa chama walikuwepo wengi walitoka ndani ya ccm akiwemo maalim seif,slaa,mrema lakini chama bado kipo na kitaendelea kuwepo


mkuu kwa wanafiki na ziro za form six zinavyojifanya ni zaidi ya akili za watanzania kumbe ni tamaa ya billion 10 ,ccm itashida zaidi ya kushinda,
 
Unajua ishu ni kwamba,walikuwepo ndani ta CCM pia wantaka kutoka sema hawana ubavu huo kutokana na mambo mengi,ikiwepo rushwa,wizi na madhambi mengi waliyonayo;hivyo kutoka ni kutojihakikishia usalama wao.

Kingine ni CCM sio chama cha siasa ni chama cha wachache kujinufaisha. Its an enterprise for the few and not a political party for many.

unaushaidi upi kuwa ni chama ha wachache wanaojinufaisha wakati waliosema hayo tena kwa ushujaa mkubwa jana waseyafuta hayo na kusema walikuwa wamechanganyikiwa hawakujua walichokuwa wanasema?
 
Acha mihemko makufuli atawanyoosha nyie wenye utapiamlo wa wagombea mnaosubili reject toka dume la mbegu
 
Acha mihemko makufuli atawanyoosha nyie wenye utapiamlo wa wagombea mnaosubili reject toka dume la mbegu

waliutukana mfumo wa ccm kumbe ndo kimbilio lao la kupata viongozi kweli ziro ni ziro hata ingeperekwa marekani,
 
Ukawa+Lowasa kwanza achana na ccm mwaka huu lazima mjinyeee nyie maccm....
 
Hatutaki matude yaliyovimbavimba tumbo kwa ufisadi mwaka huu Ukawa Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Ccm mmepoteana na mumeanza kulumbana inga bado hajabaki mgombea mmoja ubunge mkiwakata tu wanahamia ukawa kazi mnayo
 
Kikwete anamuuliza Nape Eti kweli jamaa kahama yuko CDM???
 

Attachments

  • kikwete.jpg
    kikwete.jpg
    8.5 KB · Views: 127
Back
Top Bottom