CCM ni JIPU- kumbe picha haziendi

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,749
Magufuli ni bora akaitumbua CCM haraka sana ,kinachotumika ni ukuu ndani ya CCM kujenga kambi pinzani itakayomuangusha Magufuli ,mambo ya mabasi ya UDA nimeyasikia,wanaokazania CCM wabaki madarakani kule ZNZ nao ni genge la waasi dhidi ya Magufuli ,chunguza ni nani alieko nyuma ya mapinduzi ya CCM dhidi ya ushindi wa CUF.
Mambo ni makubwa sana ndani ya CCM dhidi ya Magufuli ,kinachosubiriwaa ni uchaguzi wa Zanzibar ili ngome iwe kamilifu kikipulizwa basi iwe rahisi kumbwaga Magufuli chali na atakuwa hana mtetezi,kwani ngome ya Zanzibar itatumika katika kuongeza kura za kutokuwa na imani,wapi mchezo bungeni tu ,filamu hii imevuja kazi ya kuisikiliza na kuichunguza ni kwa Magufuli ndio mkaona liwalo na liwe CCM inachukua ushindi wa che Zanzibar ikijilundikia wabunge wote,huku Magufuli analishwa kasumba ya mambo ya Zanzibar huwezi kuingilia,hivi ni kweli Magufuli hawezi kuingilia ?
magufuli ameshawagusa vigogo kibao ambao ni wakuu ndani ya serikali ya CCM kichama ,kwa msukumo wa kutumbua majipu ,sasa kazi ni kumsaka Magufuli wamkwamishe na kisha wamuaangushe kiulaini ili warudu kwenye sukani na kuendeleza mambo yao ,bandari uda,machimbo miradi na sehemu nyingi za mikataba ,mengine mtajaza ila Magu amewakamata wengi na sasa ni kumkamata yeye.Picha haziendani kabisa.
 
Akizubaa akuzugwa akazugika; mwache apigwe katafunua!
 
Aiiiiii!!!! Ngoja niwahi kuhukumu hapa. Safari ya mstaafu ilikuwa na lengo la kusikilizia kama mzee wa hapa kazi tu anajua lolote kuhusu kutegwa kwake na issue ya zenji? Muda ndio mwamuzi bora kuliko yule aliyechezesha simba na yanga. Na motego ya ccm ukichomoa wewe bingwa.
 
Back
Top Bottom