CCM ni hatari kwa Tanzania

CCM ni hatari kwa Tanzania

Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea.

Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo wanaowasimanga watanzania maskini kwenye tozo eti kama hawataki wahamie Burundi.

Ndo hawa watu wanaomkufuru Mungu kila siku eti chama chao kitaitawala Tanzania milele yote. Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge, eti Mwenge uchome mafisadi wakati majizi yote Tanzania yapo CCM .

Taifa bado halina mbele wala nyuma,bora siku ziende.
Kweli CCM + WATANZANIA wajinga = Umasikini & Maendeleo duni ya taifa la Tanzania
IMG_20220905_011739_491.jpg
 
Ukijiona upo kwenye mfumo usiotenda haki tambua na wewe ni sehemu ya watenda dhulma, kama unaona hakuna haki kwenye mfumo unaoutumikia unapaswa kujiudhulu na kujiunga na wapinga dhulma.
Your smart mister. Umeandika kilicho bora hapa.
 
Nadhani huelewi kuwa wabunge wote wa ni wajumbe wa NEC ya CCM, kiuongozi ccm ikitoka CC inafata NEC kwa hiyo matamshi yake kama kiongozi wa ccm, na waziri ni tamshi la hovyo sana kama vipi ahamie,yeye huko burundi fala sana huyo jamaa.
Kongozi mwingine wa ccm sijui anaitwa Kinena sasahivi ni katibu mkuu uvccm aliopokuwa mwenyekiti huko Iringa alishatoa kauli za kiuchochezi.
Kheri james alipokuwa mwenyekiti wa uvccm alishatoa kauli za uchochezi baadae akajistukia baada ya mpwa wake jiwe kuuliwa akajaomba msamaa
Viongozi wengi wa ccmwanatoa kauli za kuhamasisha uvunjifu wa amani.
Huwezi kuwaambia watanzania eti ahamie Burundi jamaa mshenzi sana kama hawezi kuongoza aachie madaraka pumbavu zake
Kwa uelewa wa wengi naomba niweke sawa hoja yako. Kwanza wabunge wote sio wajumbe wa NEC ila wabunge wote ni wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM. Na hoja yangu hapa mjumbe wa mkutano mkuu ni ngazi ya chini Sana kiuongozi na naweza kusema ni kama mwanachama mwingine yeyote wa kawaida, matamshi na kauli zao haziwezi kuchukuliwa kama kauli za chama Sana Sana mara nyingi wanatoa maoni yao binafsi.
 
Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea.

Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo wanaowasimanga watanzania maskini kwenye tozo eti kama hawataki wahamie Burundi.

Ndo hawa watu wanaomkufuru Mungu kila siku eti chama chao kitaitawala Tanzania milele yote. Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge, eti Mwenge uchome mafisadi wakati majizi yote Tanzania yapo CCM .

Taifa bado halina mbele wala nyuma,bora siku ziende.
Ulipotea sana, onesha njia sio kulalama kwenye kikao cha giizani
 
Siasa ndo kila kitu.kama uelewi jielimishe.
Endelea Kupiga siasa itakulipia ada ya watoto wako,itakulipia bima ya afya ,itawatumia wazi wako pesa ,itatunza familia Yako,itakujengea nyumba etc .Acha sisi tupige kazi
 
siasa inaweza isilete chakula mezani, lakini siasa inaweza kuleta hali mbaya ya maisha inayoweza kupelekea njaa na ukosefu wa chakula mezani.

Siasa inaweza kufanya biashara zikawa ngumu kutokana na maamuzi mabovu ya wanasiasa, siasa inaweza kufanya upatikanaji wa hela ukawa mgumu kutokana na maamuzi ya hovyo ya wanasiasa. siasa inaweza kufanya amani ikatoweka kutokana na maamuzi mabovy na ya hovyo ya wanasiasa.

Siasa inaweza kufanya mfumo wa elimu ukawa mbovu na kuzalisha vijana wasiojielewa na kusababisha matatizo makubwa kwenye jamii kutokana na maamuzi ya hovyo ya wanasiasa.

Siasa kupitia maamuzi ya hovyo ya wanasiasa inaweza kufanya upatikanaji wa ajira ukawa mgumu na zisiwepo kabisa kupitia maamuzi yao mabovu.

Maamuzi ya hovyo hutokana na uwepo wa wanasiasa wa hovyo ambao wamekabidhiwa dhamana kupitia mifumo ya hovyo iliyotengenezwa na wanasiasa wa hovyo kwa maslahi yao binafsi.

Pinga uhovyohovyo kila mahala baadala yake kwa pamoja tupambane na uwepo wa wanasiasa smart na vyama smart vitakavyotengeneza mifumo smart itakayozalisha jamii smart.
Umeandika vitu sensitive sana, hayo ndio matumizi bora ya akili... Asante sana
 
Kwahiyo hao waliosema bora damu imwagike ni tamko la chadema kama chama au ni mawazo na mtazamo wa mtu.naona unatapata tu bila hoja.kamwe huwezi kuitenganisha ccm na yanayoendelea nchi hii kwasababu wao ndio wanaounda serikali ndo maana ata utetezi wako unajichanganya tu.
Asipoelewa haya maelezo basi tena..
 
Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea.

Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo wanaowasimanga watanzania maskini kwenye tozo eti kama hawataki wahamie Burundi.

Ndo hawa watu wanaomkufuru Mungu kila siku eti chama chao kitaitawala Tanzania milele yote. Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge, eti Mwenge uchome mafisadi wakati majizi yote Tanzania yapo CCM .

Taifa bado halina mbele wala nyuma,bora siku ziende.🤣🤣sasa tufanyeje
 
Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike

Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM

Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?

Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
Unakwama wapi?kwamba Waziri alitoa maoni yake kama raia?utetezi wako hauna mashiko kabisa
 
Tuanze movement ya kuchange Psychology ya Mtanzania 2025 tufanye maamuzi magumu sana . Tuwahi kabla hawajaja kuwalaghai Watanzania , nina imani Wtz wana hamu na mabadiliko,, Wana njaa ya mabadiliko .
 
Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike

Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM

Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?

Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
Ili Nchi yoyote iendelee inahitaji Watu , Ardhi, Siasa safi na uongozi bora ----over mwenyewe sikio asikie hili kutoka kwa mtoto wa Chief Burito wa Wazanaki-----Sasa hivi hali ya Rushwa ni mbaya zaidi,uwajibikaji kwenye Taasisi za umma umezorota , low standard's of accountabilty , tuna hitaji kiongozi mwenye mwenyewe kuondoa haya kwa vitendo siyo maneno 2025........
 
Back
Top Bottom