Mods Mnaniacha Hoi Sana Watu Tunatupia Mada Zenye Ujumbe Na Mashiko Lakini Mnazipotezea Cha Ajabu Watu Wanatupia Ujinga Mada Zisizo Na Mashiko Mpaka Mtu Unajiuliza Huyu Mu Amewezaje Kuingia Jf Maa Uwezo Wake Ni Mdogo Mno Kias Kwamba Ni Aibu Hata Kuchangia
Mkuu uko kama mimi nimebaki kushanga jinsi Watz tulivyo na upeo mdogo kiasi hiki yaani mtu anachangia utadhani anaishi shimoni na hata nuru hajawahi ona