CCM ni chama chenye nguvu Tanzania

CCM ni chama chenye nguvu Tanzania

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Ukiangalia historia inajieleza katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki hakuna chama cha upinzani kilichowahi kukitoa chama tawala, ndugu zetu Kenya pale walijaribu kuleta mabadiliko lakini wapi matokeo yake walipigwa walikufa na chama tawala kikaendelea kushika madaraka, watanzania wenzangu nawapenda sana mambo ya siasa tuyaache piga ua galagaza CCM watashinda uchaguzi mkuu.

Wanaosema eti tunataka mabadiliko fanya mabadiliko kwenye familia yako kwanza hawa UKAWA ni kama CCM hakuna lolote, Tanzania ni masikini kwa sababu ni nchi ya wazembe sana wanaopenda starehe hakuna sababu ya kulalamika CCM mafisadi kama yale mabilioni yaliyoibiwa na Edward Lowassa hata kama asingeiba wewe mwananchi wa kawaida unafikiri ungepewa hata mia tano, fanya kazi zako kwa nguvu zote acha kulalamika iache CCM ile ujana bwana usitake kuharibu maisha yako.
 
ukiangalia historia inajieleza katika nchi za ukanda wa afrika mashariki hakuna chama cha upinzani kilichowahi kukitoa chama tawala, ndugu zetu kenya pale walijaribu kuleta mabadiliko lakini wapi matokeo yake walipigwa walikufa na chama tawala kikaendelea kushika madaraka, wanzania wenzangu nawapenda sana mambo ya siasa tuyaache piga ua galagaza ccm watashinda uchaguzi mkuu, sasa kama mnataka kuwa wakimbizi andamaneni barabarani mkione cha moto hawa polisi wanajaa ya damu hajaua miaka mingi sana, wanaosema eti tunataka mabadiliko fanya mabadiliko kwenye familia yako kwanza hawa ukawa ni kama ccm hakuna lolote, tanzania ni masikini kwa sababu ni nchi ya wazembe sana wanaopenda starehe hakuna sababu ya kulalamika ccm mafisadi kama yale mabilioni yaliyoibiwa na edward lowasa hata kama asingeiba wewe mwananchi wa kawaida unafikiri ungepewa hata miatano, fanya kazi zako kwa nguvu zote acha kulalamika iache ccm ile ujana bwana usitake kuharibu maisha yako.

mtu mzima hatishiwi nyau,lazima tuipige CCM chini,kimekuwa chama cha kifamilia sana
 
ukiangalia historia inajieleza katika nchi za ukanda wa afrika mashariki hakuna chama cha upinzani kilichowahi kukitoa chama tawala, ndugu zetu kenya pale walijaribu kuleta mabadiliko lakini wapi matokeo yake walipigwa walikufa na chama tawala kikaendelea kushika madaraka, watanzania wenzangu nawapenda sana mambo ya siasa tuyaache piga ua galagaza ccm watashinda uchaguzi mkuu, sasa kama mnataka kuwa wakimbizi andamaneni barabarani mkione cha moto hawa polisi wanajaa ya damu hawajaua miaka mingi sana, wanaosema eti tunataka mabadiliko fanya mabadiliko kwenye familia yako kwanza hawa ukawa ni kama ccm hakuna lolote, tanzania ni masikini kwa sababu ni nchi ya wazembe sana wanaopenda starehe hakuna sababu ya kulalamika ccm mafisadi kama yale mabilioni yaliyoibiwa na edward lowasa hata kama asingeiba wewe mwananchi wa kawaida unafikiri ungepewa hata miatano, fanya kazi zako kwa nguvu zote acha kulalamika iache ccm ile ujana bwana usitake kuharibu maisha yako.
wewe mwehu kweli, unaongelea mambo ya leo kwa ushahidi wa jana.....ndio nyie mliofulia bado mpo busy kuelezea mlivyokuwa mkitumia mkidhani itawalipia bill leo wakati hamna hata jiti mfukoni.
 
Itajulikana tar 26 October hakuna haja ya kupoteza nguvu na rasilimali zenu kuongelea ushindi kabla ya kura.
 
ukiangalia historia inajieleza katika nchi za ukanda wa afrika mashariki hakuna chama cha upinzani kilichowahi kukitoa chama tawala, ndugu zetu kenya pale walijaribu kuleta mabadiliko lakini wapi matokeo yake walipigwa walikufa na chama tawala kikaendelea kushika madaraka, watanzania wenzangu nawapenda sana mambo ya siasa tuyaache piga ua galagaza ccm watashinda uchaguzi mkuu, sasa kama mnataka kuwa wakimbizi andamaneni barabarani mkione cha moto hawa polisi wanajaa ya damu hawajaua miaka mingi sana, wanaosema eti tunataka mabadiliko fanya mabadiliko kwenye familia yako kwanza hawa ukawa ni kama ccm hakuna lolote, tanzania ni masikini kwa sababu ni nchi ya wazembe sana wanaopenda starehe hakuna sababu ya kulalamika ccm mafisadi kama yale mabilioni yaliyoibiwa na edward lowasa hata kama asingeiba wewe mwananchi wa kawaida unafikiri ungepewa hata miatano, fanya kazi zako kwa nguvu zote acha kulalamika iache ccm ile ujana bwana usitake kuharibu maisha yako.

Ccm nini wewe, kulikuwaga na kanu, sasa hata hakijulikani ni chama au saccos..!!
 
Mods Mnaniacha Hoi Sana Watu Tunatupia Mada Zenye Ujumbe Na Mashiko Lakini Mnazipotezea Cha Ajabu Watu Wanatupia Ujinga Mada Zisizo Na Mashiko Mpaka Mtu Unajiuliza Huyu Mu Amewezaje Kuingia Jf Maa Uwezo Wake Ni Mdogo Mno Kias Kwamba Ni Aibu Hata Kuchangia
 
Wakenya wanacheza smart games na Watanzania bado tumelala.

After Precision Airlines (PA) kuwa threat kwa operation za Kenya Airways (KQ) route za Tanzania na Kenya, KQ wakaingia ubia na PA very smartly na bwakawa wanaihujumu undercover.

Leo hii PA iko hoi na tayari Operations za Jomo Kenyatta-KIA, Jomo Kenyatta-Mwl. Nyerere zimerudi kwa KQ...

Pili, baada ya TBL kuruhusiwa kuuza bia Kenya, na Kenya walete bia zao Tanzania. TBL wakakaribia kuuwa bia za Wakenya huko kwao wakati huo bia yao TUSKER ikawa haifanyi vizuri hapa Tanzania. Wakavunja makubaliano, ili kila mtu afanye biashara yake kwake.

After years EABL ya Kenya ikaingia ubia na SBL na wakaipa License ya kuzalisha na kusambaza TUSKER hapa nchini..

Smartly EABL wanauza hapa kwetu wakati sisi TBL haiuzi kule kwao..

Wakati hayo yote yanafanyika Watanzania tunalazwa na fikra za kijinga za viongozi wetu wa CCM.. Education Matters alot

2004 Tanzania tulikuwa na Ndege mbili za serikali (Air Tanzania) na Kenya walikuwa na Ndege 19 (Kenya Airways-KQ). 2015 Tanzania tuna Ndege 1 ya kukodi kwa ajili ya kupigia Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kenya wana Ndege 47 zinazotua katika viwanja 62 vya mabara yote duniani.

Tukumbuke bila kuwa na Shirika letu la Ndege Utalii tunaongelea ni kazi bure.

Kenya taratibu inautawala Uchumi wa Tanzania, tayari wana Bank mbili zinazofanya kazi nchini (KCB and Equity Bank), Tanzania bado hatuna Bank yeyote Kenya.

Supermarkets za Kenya tayari zimeingia nchini na kuuwa zetu (Nakumat tayari imeshainunua Shoprite (T), UCHUMI Supermarkets). Sisi Imalaseko Supermarkets zilishakufa kule Kenya.

Soko la Hisa Dar Es Salaam (DSE) lina Jumla ya Kampuni 21, kati ya hizo Kampuni 7 ni za Kikenya lakini Soko la Hisa la Nairobi (NSE) lina zaidi ya Kampuni 64 na hakuna kampuni hata moja ya Kitanzania.Hii ni mbaya sana kiuchumi.

Pato la Mtanzania kwa mwaka ni Tshs. 1,996,000 na Pato la Mkenya kwa mwaka ni Tshs. 3,176,000..
Pato la nchi (Tanzania) ni Tshs. Trillion 98.36 na Pato la nchi kwa Kenya ni Tshs. Trillion 140.

Wakati Kenya wao wakifungua mipaka yao na kwenda kufanya Biashara na uwekezaji na kutafuta ajira kila mahali, Serikali ya CCM imetufundisha uoga na kutojiamini.

Serikali ya CCM inatuambia tukiingia kwenye soko la ajira la Afrika Mashariki Wakenya watatupiga bao. Swali ni kwanini?? Ni kwasababu serikali ya CCM inajua haitoi elimu bora, wanafunzi tunaishia kukaririshwa ili akili zetu zisifunguke na kuanza kufikiri sawasawa.

Mfumo mzima wa elimu unatakiwa kuwekwa sawa, na hicho ni kipaumbele cha kwanza cha EL, Kipaumbele kikubwa cha Magufuli ni kugawa Laptops kwa walimu wote nchini.

Serengeti National Parks ni mbuga bora iliyoshika namba moja kwa Afrika, na Ngorongoro ikiwa namba 5.. Masai Mara ya Kenya ni namba 8. Lakini pia Tanzania tuna Mlima Mrefu zaidi Afrika Mlima Kilimanjaro ambao pia ni kivutia kikubwa cha Utalii.
Lakini maajabu ni kwamba Kenya wanakusanya pato kubwa sana kwenye Utalii kuliko Tanzania.

Mwaka 2013 pamoja na matukio ya kigaidi Kenya ilitembelewa na watalii million 1.4 wakati Tanzania yenye amani tele ilitembelewa na watalii million 1.04.

Amani wanayoihubiri CCM na vivutio vyetu vya Utalii bado havijatufaidisha chochote.

Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kilikuwa kinazalisha TYRE bora kabisa za kazi. Kilikuwa na Soko kubwa Afrika Mashariki na kati. Gari zote za Tours zinazotembea porini Afrika Mashariki yote na Afrika ya Kati zilikuwa zinafunga TYRE ya GENERAL. Hata wale wapigana vita za msituni huko Kongo na Sudan walikuwa hawaendi kupambana bila kuhakikisha Land Rover yake imefungwa Tyre ya General. Magari ya serikali yote yalikuwa yanafunga Tyre ya General.
Kiwanda kilikuwa kinalipa kodi isiyopungua Billion 100 kila mwaka. CCM wakafanya hujuma kukiua, zinatolewa subsidy zinaishia kwenye matumbo yao.

Wakenya walivyosmart wakaiba ile Technology ya Tyre za General wakafungua kiwanda chao huko kwao kikaitwa YANA Tyre ambaye sasa ndiye Supplier mkubwa wa Tyre Afrika Mashariki na Kati. Kampeni zinaanza wamejifanya kuifufua General Tyre, Je, wataweza kupambana na Yana Tyres??

Kenyans are always SMART kuliko akili za CCM
CCM wanasema hapa ni Kazi tu.. hahaha

Bandari ya Dar ambayo ina feed Tanzania, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia na Malawi ina wastani wa kuingiza Kontena Million 12 kwa mwaka, wakati Bandari ya Mombasa inayofeed Kenya, Uganda na Sudan pekee inaingiza Kontena Million 22 kwa mwaka.
Hivyo bandari ya Mombasa inayolisha nchi 2 pekee (kwa kiasi kikubwa) inaingiza pato kubwa kuliko Bandari ya Dar ambayo inalisha nchi 5.

Tatizo ni nani?? CCM na Ulofa na Upumbavuwa viongozi wa CCM.
 
Hawa mbwa ccm wamelewa sana madaraka. Kuna rais wa nchi fulani lisema akipewa tz atatumia bandari peke yake kunyanyua uchumi wa tz
 
Daaaaaa!!! Nimeioendaa iyoo. Mtu akitaka mabadiliko. Aanze kufanya kwanza kwenye familia yake then ndo uje kitaifa. Amaaa nini
 
mkuu usijali sisi tutakusaidia kufanya mabadiliko. mabadiliko ni lazima. tulikuwa na TANU lakini ikaenda. ccm imefika mwisho...
 
ukiangalia historia inajieleza katika nchi za ukanda wa afrika mashariki hakuna chama cha upinzani kilichowahi kukitoa chama tawala, ndugu zetu kenya pale walijaribu kuleta mabadiliko lakini wapi matokeo yake walipigwa walikufa na chama tawala kikaendelea kushika madaraka, watanzania wenzangu nawapenda sana mambo ya siasa tuyaache piga ua galagaza ccm watashinda uchaguzi mkuu, sasa kama mnataka kuwa wakimbizi andamaneni barabarani mkione cha moto hawa polisi wanajaa ya damu hawajaua miaka mingi sana, wanaosema eti tunataka mabadiliko fanya mabadiliko kwenye familia yako kwanza hawa ukawa ni kama ccm hakuna lolote, tanzania ni masikini kwa sababu ni nchi ya wazembe sana wanaopenda starehe hakuna sababu ya kulalamika ccm mafisadi kama yale mabilioni yaliyoibiwa na edward lowasa hata kama asingeiba wewe mwananchi wa kawaida unafikiri ungepewa hata miatano, fanya kazi zako kwa nguvu zote acha kulalamika iache ccm ile ujana bwana usitake kuharibu maisha yako.

Epuka kula viroba hasa ukiwa na njaa
 
Usitishe watu polis nani wakileta za kuleta tutawastakishari fastaaaa
 
Ndoto za mchana hizo,ccm haiwezi kuwa zaidi ya tawala kubwa za kidunia ambazo ziliangushwa moja baada ya nyingine mfano,Babeli,Umedi na Uajemi,Uyunani n.k Pasipo kuwa na mfumo wa chama dola,ccm ni wepesi kama pamba.Ndio maana tunashuhudia nguvu kubwa ya vyombo vya dola inavyotumika kama sehemu ya ccm dhidi ya upinzani.Lakini Mwl.Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ccm,sote ni mashahid utabiri umeshatimia, hakuna aliedhania mtu kama E Lowassa anaweza kukihama chama alichokulia au Sumaye nk.Ambao wanajua mifumo yote ya fitina za ccm,Mleta mada kama ulikuwa unaota tusubirie oct.2015.Mungu ibariki Tanzania,tuepushe na mabaya yote na wasioitakia mema nchi yetu,wewe MUNGU unawajua,Tusaidie tafadhali!
 
wewe hujui tuu utasema wewe mwenyewe ni hatari tunaojua mambo hatuna hata shida subiria mabadiliko.
 
Ukiangalia historia inajieleza katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki hakuna chama cha upinzani kilichowahi kukitoa chama tawala, ndugu zetu Kenya pale walijaribu kuleta mabadiliko lakini wapi matokeo yake walipigwa walikufa na chama tawala kikaendelea kushika madaraka, watanzania wenzangu nawapenda sana mambo ya siasa tuyaache piga ua galagaza CCM watashinda uchaguzi mkuu.

Wanaosema eti tunataka mabadiliko fanya mabadiliko kwenye familia yako kwanza hawa UKAWA ni kama CCM hakuna lolote, Tanzania ni masikini kwa sababu ni nchi ya wazembe sana wanaopenda starehe hakuna sababu ya kulalamika CCM mafisadi kama yale mabilioni yaliyoibiwa na Edward Lowassa hata kama asingeiba wewe mwananchi wa kawaida unafikiri ungepewa hata mia tano, fanya kazi zako kwa nguvu zote acha kulalamika iache CCM ile ujana bwana usitake kuharibu maisha yako.

Vyama vyenye nguvu havihitaji promo hapa.
 
Ccm kudanga jangwan kwa picha kutengeneza angalia kwa uthibitisho
 
Attachments

  • 1440770419310.jpg
    1440770419310.jpg
    201.8 KB · Views: 54
  • 1440770438220.jpg
    1440770438220.jpg
    80.1 KB · Views: 54
Ukiangalia historia inajieleza katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki hakuna chama cha upinzani kilichowahi kukitoa chama tawala, ndugu zetu Kenya pale walijaribu kuleta mabadiliko lakini wapi matokeo yake walipigwa walikufa na chama tawala kikaendelea kushika madaraka, watanzania wenzangu nawapenda sana mambo ya siasa tuyaache piga ua galagaza CCM watashinda uchaguzi mkuu.

Wanaosema eti tunataka mabadiliko fanya mabadiliko kwenye familia yako kwanza hawa UKAWA ni kama CCM hakuna lolote, Tanzania ni masikini kwa sababu ni nchi ya wazembe sana wanaopenda starehe hakuna sababu ya kulalamika CCM mafisadi kama yale mabilioni yaliyoibiwa na Edward Lowassa hata kama asingeiba wewe mwananchi wa kawaida unafikiri ungepewa hata mia tano, fanya kazi zako kwa nguvu zote acha kulalamika iache CCM ile ujana bwana usitake kuharibu maisha yako.

Endelea kula mgebuka huko Shinyanga.
 
Back
Top Bottom