Asenga wa Pakaya
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 260
- 61
- Thread starter
-
- #41
Mwalim nyerere anasikika ktk 1 ya hotuba zake akisema vyama vya upinzani ni vibovu vibovu
Vkisukumwa na upepo kdogo tu viongoz wao hukosa hekima
Mmeona ishu ya zzk na lema
So bora tusonge na CCM
Yetu mana huu ndio ukweli
Ukikataa unajichelewesha tu
Haha jk akipanda ndege kuvuka mpaka wa tz kikaz kinawauma
Ila akipanda kuanza ziara ya kikaz siku 4 geita
Hasafir sana
Kazi mnayo
abubakari asenga miongoni mwa vilaza wa grade ya juu kabisa
Mwalim nyerere anasikika ktk 1 ya hotuba zake akisema vyama vya upinzani ni vibovu vibovu
Vkisukumwa na upepo kdogo tu viongoz wao hukosa hekima
Mmeona ishu ya zzk na lema
So bora tusonge na CCM
Yetu mana huu ndio ukweli
Ukikataa unajichelewesha tu
Haha jk akipanda ndege kuvuka mpaka wa tz kikaz kinawauma
Ila akipanda kuanza ziara ya kikaz siku 4 geita
Hasafir sana
Kazi mnayo
Marachache sana kukuta wazungu kwenye mikutano ya ccm
kinana hajawahi kumpita masiki ktk ziara yake bila kumsikiliza na kumpa alichonacho ata kama ni ushauri wa kawaida
wapi slaa aliwahi kula kwa mamanitilie? Au na masikini?
Hebu niongezee yale ambayo hujayasema kuhusu ccm unayoipenda:
- ccm ni chama cha mafisadi
- ccm ni chama cha wala rushwa
- ccm ni chama kilichojaa wataalam wa biashara ya madawa ya kulevya
- ccm ni chama cha watoto haramu(wengi wamezaliwa kwenye mbio za mwenge)
- ccm ni chama kilichojaa wataalamu wenye kutorosha wanyama wetu nje
- ccm ni chama cha majangili nk
Naomba wengine wanaojua sifa za ziada za ccm waandike hapa chini.
Mbona una kopy na kupest baadhi ya nakala ya katiba ya chama changu kipendwa cha ccm?
Nitake radhi lasivyo nitaenda mahakamani
huyu lacima apate division "5"hongera kwa kumaliza mitihani ya taifa jana!
yaangalie yalivyovimbiana kwa rushwa !CCM ni chama cha MapanyaBuku yaliyokubuhu.
Kabisa halafu ndiyo majembe yanatogemewa UVCCM na akina Mtela Mwampamba.