Kiongozi umeandika nini hapa aisee? CCM chama cha binadamu alafu vyama vingine ni vya ng'ombe? Au unasema hujawahi kuona wazungu kwenye mikutano ya Kinana, sasa wazungu si wako huko makwao jamani, wafanyenini kwenye mikutano ya ccm, kwani huwa mkiwataka si mnawafuata huko makwao, mara ngapi mnakuwa na safari za ulaya kama CCM?