CCM ndio iliyoleta umaskini Tanzania

Ccm ndo magaidi wakuu wa taifa hii,wakalia porojo tu maendeleo no
 
Haya mawazo yako ndio chanzo cha umasikini wako. Unaamini kuna chama kitakuja kukujengea maisha.

Pamoja na vigezo vyote ulivyotoa natamani ungefika kwangu. Watu mnalala mnaamka mnawaza siasa wakati huo pia mnawaza mafanikio.

Nikiwaona baadhi ya madada wajasiriamali wa Tz kwenye TV walivyopata mafanikio na kiangalia watu wenye mawazo kama yako hakika huumia sana maana badala ya kuumiza kichwa na kuspend time kwenye mambo ya msingi wewe wawaza upuuzi.

Endelea kusubiri mwaka ambao chama fulani kitaleta utajiri
 
Miaka zaidi ya 50 bado tunangaika kumtua mama ndo ya maji kichwani.
 
Umasikini ni wakwako mkuu na mawazo yako mganDO
Kweli kabisa laumu wazazi wako, umasikini wa MTU ni MTU mwenyeywe, usitegemee serikali kukuletea utajili wakati umeweka umekaa chini kila wakati.
 
hadi roho mbaya zilizojaa ukatili, uonevu, uongo, uzandiki, hila, na wizi mwasisi wake ni ccm
 
Me siwezi kuilaumu CCM, watz wenyewe ndo wa kulaumiwa..... Ni masikini kwa kujitakia. Wanadhani hali yao inaweza kubadilika na kuwa nzuri kwa kuendelea kuibeba CCM!
 
Kwa hiyo wewe ukinywa chai na mkate mwenzako anakufa kwa kukosa.huduma.bora za afya unayaita maendeleo?
Mngekuwa mnahubiri haya kwenye campaign pia.
 
Kweli kabisa laumu wazazi wako, umasikini wa MTU ni MTU mwenyeywe, usitegemee serikali kukuletea utajili wakati umeweka umekaa chini kila wakati.
Haya ndio mawazo mufilisi ya CCM kwa wananchi wake. Tunaongelea huduma bora za maji, afya, elimu, demokrasia, rushwa, ufisadi, uchotaji fedha kwa matumizi mabaya, wao wanawaza kutajirika.
 
Umaskini uliotopea huku wakijinasibu wanatetea wanyonge nakutaka wengine washuke wawe mashetani.
 
Si umasikini pekee , bali na hizi laana zote zilizojaa nchi hii .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…