Huyu ni mnafiki anayesumbuliwa na njaa tumboni mpaka kichwani.ndio maana kwenye mada yake ya jana anayosema hawezi kumsikiliza Rais wetu Mpendwa nimempuuza bila kumjibu kitu.nimegundua ni mroho wa madaraka na aliyekuwa CCM kwa kutaka vyeo na alipokosa ameanza kutapatapa kama kichaa au mwendawazimu