CCM ndio chama makini...

CCM ndio chama makini...

ccm ndio chama makini cha kukipa dola hatuwez kuwapa watu waroho wa madaraka namna hiyo..na ushahid wa kuvulugana wenyew unaendelea yan sarakasi...vote ccm vote magufuli...bora afadhali kuliko potelea mbali...

mafanikio ya kushika dola tumetoka choka nayo Tumetoka huu ni mwisho wen u ninyi masisiem
 
ccm ndio chama makini cha kukipa dola hatuwez kuwapa watu waroho wa madaraka namna hiyo..na ushahid wa kuvulugana wenyew unaendelea yan sarakasi...vote ccm vote magufuli...bora afadhali kuliko potelea mbali...

Huko ndani ya CCM hakuna ambaye ameingia bila kutoa rushwa ,najiuliza nikimchagua CCM maana yake ninamiaka mingine kumi ya kurudisha rushwa ya mgombea....

Kama hii haujaifikiria basi pole,hao CCM ndiyo waroho wa madaraka maana wako tayari kuua,kuhonga ili mradi wapate uongozi.

Nasikia mmeruhusiwa kila mtu anaweza kuhonga ila inategema mfuko wa mtia NIA tu,halafu Uroho wa madaraka...

Jiulize huko kwenu ni nini kinachoendelea kama si UROHO wa MADARAKA?

TOA BORITI KWENYE JICHO LAKO ILI UONE KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO...TAFAKARI
 
CCM. Asilimia 90% ya majimbo yote yanalia mchezo mchafu wa rushwa katika mchakato wa wagombea. Kweli hawa wanafaa kupewa dola tena? Watanzania tuweni watu wazima katika hili!!!
 
"ONYESHA KUA UNA AKILI TIMAMU KWA KUIONDOA CCM OCTOBER 25" tuma ujumbe huu kwa watu 10(wenye kitambulisho cha kupigia kura)
 
Mm nafikili muende likizo kwanza ili mkajifunze jc ya kuwatetea wananchi na sio familia zenu
 
Uko sahihi Mtoa mada ndio maana imeweza kuthibiti rushwa,kuthibiti Pembe za ndovu,imeondoa umasikini na kuleta mAisha bora kwa kila mtanzania,Imethibiti madawa ya kulevya,imetoa mamilioni ya ajira,uchumi na shilling vimekuwa sana,imefanya mapinduzi ya kilimo na viwanda,kidumu ccm
 
ccm ndio chama makini cha kukipa dola hatuwez kuwapa watu waroho wa madaraka namna hiyo..na ushahid wa kuvulugana wenyew unaendelea yan sarakasi...vote ccm vote magufuli...bora afadhali kuliko potelea mbali...

Mtoa mada jaribu kutoa sababu na mchanganuo mzuri ili wengi wavutiwe
 
ccm ndio chama makini cha kukipa dola hatuwez kuwapa watu waroho wa madaraka namna hiyo..na ushahid wa kuvulugana wenyew unaendelea yan sarakasi...vote ccm vote magufuli...bora afadhali kuliko potelea mbali...

Ni chama makini kwa kuwafanya watanzania mbumbumbu kwa kuwapa elimu ya kayumba na kuwafanya wananchi masikini ili iwe rahisi kuwanunua wakayi wa uchaguzi!

Huo ndiyo umakini wa ccm unaojulikana!

Mwaka hau mtaingia bungeni na wabunge wa . kutoka bush tu, na hata hao wa bush mamvi mwaka huu mnagawana nao!
 
"Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" Naamini miaka yote 54 ya uhuru ndo unatuelezea "UMAKINI WA CCM"Du ama kweli hii ni kama nchi ya "Wagagagigikoko na Mfalme Hui Hui"
 
ccm ndio chama makini cha kukipa dola hatuwez kuwapa watu waroho wa madaraka namna hiyo..na ushahid wa kuvulugana wenyew unaendelea yan sarakasi...vote ccm vote magufuli...bora afadhali kuliko potelea mbali...

Ccm wako makini kwa Wizi.
 
ccm ndio chama makini cha kukipa dola hatuwez kuwapa watu waroho wa madaraka namna hiyo..na ushahid wa kuvulugana wenyew unaendelea yan sarakasi...vote ccm vote magufuli...bora afadhali kuliko potelea mbali...

Humu jf wamejaa ukawa aisee pole kwa matusi wanayo kutukana
 
ccm ndio chama makini cha kukipa dola hatuwez kuwapa watu waroho wa madaraka namna hiyo..na ushahid wa kuvulugana wenyew unaendelea yan sarakasi...vote ccm vote magufuli...bora afadhali kuliko potelea mbali...
ni kweli Mkuu si unaona maendeleo kiasi Kwamba kila mtu ana pesa za kutoa rushwa,foleni za magari mazuri kila mji wa nchi hii,watoto wetu wana soma shule bora Kabisa,huduma za afya zipo bam bama na wezi wa kuku na simu za kichina either wanauwawa au wanafungwa while wezi wakubwa waziri Mkuu wa serikali ya ccm akikiri wakiguswa nchi itatikisika,ccm chama makini mpaka kinajilinganisha na watoto wadogo.big up mkuu
 
Kweli kabisa kama chama viongozi wake ndio vinara Wa ESCROW EPA Meno ya tembo lazima kiwe makini
 
Tokea mwaka gani labda kimekuwa chama makini
 
Ni chama makini kwa kuwafanya watanzania mbumbumbu kwa kuwapa elimu ya kayumba na kuwafanya wananchi masikini ili iwe rahisi kuwanunua wakayi wa uchaguzi!

Huo ndiyo umakini wa ccm unaojulikana!

Mwaka hau mtaingia bungeni na wabunge wa . kutoka bush tu, na hata hao wa bush mamvi mwaka huu mnagawana nao!

Kwa hiyo ww ni mbumbu?
 
Back
Top Bottom