CCM ndio chama bora Afrika Mashariki na kati

Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.

CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake.

Haina mpinzani,wengi waliojaribu wameshindwa kwasababu ni walaghai, walafi wa madaraka na wababaishaji.

Mtanzania kwa mfano hapendi kudharauliwa wala kupuuzwa. CCM ni dira,wengine wanafuata.
UMUIYA ya Wakristo nchini (CCT), wamewakana wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka madhehebu ya Kikrosto. Wamesema hawatambui na hivyo hawajui waliingiaje bungeni.

Kauli ya CCT imeonyesha mambo matatu makubwa. Kwanza, Rais Kikwete na chama chake walitumia vibaya madaraka ya kisheria waliyopewa ya kuteuwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Badala ya kuteuwa wawakilishi wa madhehebu ya kidini, wameteuwa makada wa chama tawala.

Pili, imethibitika kwamba Maaskofu na makanisa yao, hawakubaliani na kinachotendeka Dodoma. Kwamba fedha za walipa kodi zinatumika bila sababu.

Tatu, Samwel Sitta aliyelipa maaskofu na mashehe hadi wakatoka na tamko la pamoja lililopewa jina - BAKWATA /Kirsto - amepiga jiwe kwenye mzinga wa nyuki.

Hili hapa chini tamko la maaskofu. Soma ufaidi.

JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WA JUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUTOKA CCT.

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) inachukua fursa hii kuvishukuru vyombo mbalimbali vya habari kwa jinsi ambavyo vimekuwa vikitoa taarifa mbalimbali kuhusu kazi na matamko ya CCT. Kuhusiana na mchakato wa kuandikwa kwa Katiba mpya, CCT inaamini kuwa suala hili ni la MARIDHIANO na sio la ubabe wa kikundi au chama fulani cha siasa.

Kama ambavyo ilitangazwa na Mhe. Rais Januari 2014 kuwa Taasisi mbalimbali zipeleke mapendekezo ya wajumbe wanaoweza kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, CCT ilipeleka mapendekezo ya wajumbe tisa na kati ya hao Mhe. Rais alimteua mjumbe mmoja tu ambaye ni Bibi Esther Msambazi.

Mjumbe huyu aliyeteuliwa ni Mkristo wa kawaida (lay Christian) na wala si Kiongozi wa Dhehebu lolote la Wanachama wa CCT na pia hata sio Mzee wa Kanisa analotoka bali Mkristo mwaminifu wa kawaida. Huyu ndiye mwakilishi wa CCT kwenye Bunge Maalum la Katiba.

Viongozi wengine wa Dini ya Kikristo (Maaskofu na Wachungaji) waliopo katika Bunge hilo HAWAKUTUMWA NA CCT na wala CCT haina taarifa ni vipi walichaguliwa kuwa wajumbe wa Bunge hilo Maalum.

Aidha, pia Jukwaa la Wakristo Tanzania haliwatambui Viongozi hao kwani Jukwaa hilo linaundwa na Taasisi za TEC, CCT, PCT na SDA. Kutokana na misingi ya imani ya taasisi hizi kwa umoja wake, Viongozi wakishakubaliana jambo fulani kwa pamoja na kwa umoja wao wanalisimamia na kulitekeleza. NDIYO YAO NI NDIYO NA HAPANA NI HAPANA kwa kuwa hawana ndimi mbili na wala hawatumikii Mabwana wawili.

Kwa mantiki hiyo, CCT ikiwa mmoja wa taasisi zinazounda Jukwaa la Kikristo Tanzania inaendelea kusisitiza kuwa msimamo wa viongozi wa dini kama ulivyotolewa na Jukwaa la Kikristo Tanzania kuhusiana na Maoni waliyopeleka kwa Tume ya Kukusanya Maoni ya Wananchi chini ya Uenyekiti wa Mhe. Jaji Mstaafu Warioba na Matamko waliyotoa ni sahihi na itaendelea kuyasimamia na kuyasambaza hadi yamfikie kila Mkristo ili wananchi wa Tanzania wapate Katiba wanayoitaka.

Aidha, Viongozi hao wa Jukwaa la Wakristo Tanzania haliwezi kutafuta maoni ya Viongozi wa Dini walioko katika Bunge Maalum la Katiba kwa sababu hawawatambui kama wawakilishi wa taasisi zao na hivyo kukataa kwa nguvu zote yale ambayo viongozi hao waliopo Bungeni watakuwa wakiyasema. Mwisho kabisa tunawaomba viongozi hao wajiulize, “hivi sisi tumetumwa na tunamwakilisha nani humu Bungeni?”

Imetolewa leo September 05, 2014
Na: JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA
 
Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.

CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake.

Haina mpinzani,wengi waliojaribu wameshindwa kwasababu ni walaghai, walafi wa madaraka na wababaishaji.

Mtanzania kwa mfano hapendi kudharauliwa wala kupuuzwa. CCM ni dira,wengine wanafuata.

We utakuwa na mtindio wa ubongo au kama sio mtindio wa ubongo basi utakuwa na ubongo wa kuku.
 
Tupieni picha wakisombA WATU NA MALORI ILI KUUNOGESHA UZI ULETE MAANA HALISI YA MLETA UZI.
 
Haaa haa ccm ilikuwa zamani na sio sasa! Hii ya sasa imejaa ubabe na kuburuza wananchi. Mfano hai ni uchakachuaji unaoendelea dodoma!
 
Ccm ni jumba la amani na upendo. Daima tuikumbatie na kuilinda kama mboni ya jicho
 
Tupieni picha wakisombA WATU NA MALORI ILI KUUNOGESHA UZI ULETE MAANA HALISI YA MLETA UZI.
Tupieni na picha za majeruhi mliowamwagia tindikali, akina mussa tesha wa igunga, masheikh na maaskofu, waandishi mliowaumiza kwa kuwapiga na wale mliowauwa kwa ajali za kupanga..chadema ni mumiani
 
UMUIYA ya Wakristo nchini (CCT), wamewakana wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka madhehebu ya Kikrosto. Wamesema hawatambui na hivyo hawajui waliingiaje bungeni.

Kauli ya CCT imeonyesha mambo matatu makubwa. Kwanza, Rais Kikwete na chama chake walitumia vibaya madaraka ya kisheria waliyopewa ya kuteuwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Badala ya kuteuwa wawakilishi wa madhehebu ya kidini, wameteuwa makada wa chama tawala.

Pili, imethibitika kwamba Maaskofu na makanisa yao, hawakubaliani na kinachotendeka Dodoma. Kwamba fedha za walipa kodi zinatumika bila sababu.

Tatu, Samwel Sitta aliyelipa maaskofu na mashehe hadi wakatoka na tamko la pamoja lililopewa jina - BAKWATA /Kirsto - amepiga jiwe kwenye mzinga wa nyuki.

Hili hapa chini tamko la maaskofu. Soma ufaidi.

JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WA JUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUTOKA CCT.

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) inachukua fursa hii kuvishukuru vyombo mbalimbali vya habari kwa jinsi ambavyo vimekuwa vikitoa taarifa mbalimbali kuhusu kazi na matamko ya CCT. Kuhusiana na mchakato wa kuandikwa kwa Katiba mpya, CCT inaamini kuwa suala hili ni la MARIDHIANO na sio la ubabe wa kikundi au chama fulani cha siasa.

Kama ambavyo ilitangazwa na Mhe. Rais Januari 2014 kuwa Taasisi mbalimbali zipeleke mapendekezo ya wajumbe wanaoweza kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, CCT ilipeleka mapendekezo ya wajumbe tisa na kati ya hao Mhe. Rais alimteua mjumbe mmoja tu ambaye ni Bibi Esther Msambazi.

Mjumbe huyu aliyeteuliwa ni Mkristo wa kawaida (lay Christian) na wala si Kiongozi wa Dhehebu lolote la Wanachama wa CCT na pia hata sio Mzee wa Kanisa analotoka bali Mkristo mwaminifu wa kawaida. Huyu ndiye mwakilishi wa CCT kwenye Bunge Maalum la Katiba.

Viongozi wengine wa Dini ya Kikristo (Maaskofu na Wachungaji) waliopo katika Bunge hilo HAWAKUTUMWA NA CCT na wala CCT haina taarifa ni vipi walichaguliwa kuwa wajumbe wa Bunge hilo Maalum.

Aidha, pia Jukwaa la Wakristo Tanzania haliwatambui Viongozi hao kwani Jukwaa hilo linaundwa na Taasisi za TEC, CCT, PCT na SDA. Kutokana na misingi ya imani ya taasisi hizi kwa umoja wake, Viongozi wakishakubaliana jambo fulani kwa pamoja na kwa umoja wao wanalisimamia na kulitekeleza. NDIYO YAO NI NDIYO NA HAPANA NI HAPANA kwa kuwa hawana ndimi mbili na wala hawatumikii Mabwana wawili.

Kwa mantiki hiyo, CCT ikiwa mmoja wa taasisi zinazounda Jukwaa la Kikristo Tanzania inaendelea kusisitiza kuwa msimamo wa viongozi wa dini kama ulivyotolewa na Jukwaa la Kikristo Tanzania kuhusiana na Maoni waliyopeleka kwa Tume ya Kukusanya Maoni ya Wananchi chini ya Uenyekiti wa Mhe. Jaji Mstaafu Warioba na Matamko waliyotoa ni sahihi na itaendelea kuyasimamia na kuyasambaza hadi yamfikie kila Mkristo ili wananchi wa Tanzania wapate Katiba wanayoitaka.

Aidha, Viongozi hao wa Jukwaa la Wakristo Tanzania haliwezi kutafuta maoni ya Viongozi wa Dini walioko katika Bunge Maalum la Katiba kwa sababu hawawatambui kama wawakilishi wa taasisi zao na hivyo kukataa kwa nguvu zote yale ambayo viongozi hao waliopo Bungeni watakuwa wakiyasema. Mwisho kabisa tunawaomba viongozi hao wajiulize, "hivi sisi tumetumwa na tunamwakilisha nani humu Bungeni?"

Imetolewa leo September 05, 2014
Na: JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA
Walikuwa wapi siku zote ndio waamke jioni hii
 
Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.

CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake.

Haina mpinzani,wengi waliojaribu wameshindwa kwasababu ni walaghai, walafi wa madaraka na wababaishaji.

Mtanzania kwa mfano hapendi kudharauliwa wala kupuuzwa. CCM ni dira,wengine wanafuata.

Eti ccm inajali utu ,usawa na haki kwa RAIA wake,we taahira kweli!ni usawa gani ilionao ccm?wao hutibiwa ulaya,bila kujali raia hutibiwaje,na ndiyo maana hawawezi kuboresha hospital I zetu hata siku Mona,haki gani waliyonayo ccm?unakera ifweero watanzania tunataabika kutokana mazingira tunayowekewa na ccm halafu wewe unawapongeza ccm!laiti kama ungejua watanzania tulivyonashida zinazosababishwa na utawala huu mbovu!
 
CCM ilikoma kuwa chama bora cha siasa pale ilipowapa wenye pesa nafasi za kuongoza na kusikilizwa katika maamuzi. Kimebaki kuwa chama cha "kimafia" na sio chama cha wananchi.
 
Ccm ni jumba la amani na upendo. Daima tuikumbatie na kuilinda kama mboni ya jicho

Tatizo nyie ccm ukweli huwa mnaukalia ile ccm ya mwl nyerere na hii ya sasa hivi huwezi kuilinganisha kwa sasa imejaa wahuni na wabadhirifu yaani wezi ukitaka kuiibia nchi vizuri na usikamatwe basi jifiche kwenye uccm mambo leo na kama mna ubavu irudusheni ila ccm ikiyokuwa ya kijamaa chini ya mwavuli wa azimio la arusha zaidi ya hapo wote wanafiki tu.
 
Ccm ndio tumaini la kweli la mtanzania maskini na mnyonge. Hakuna ubaguzi,hakuna matabaka,hakuna umimi kama wa chadema na vyama vingine.. Njoo ccm upate uhuru wa kweli
 
CCM ilikoma kuwa chama bora cha siasa pale ilipowapa wenye pesa nafasi za kuongoza na kusikilizwa katika maamuzi. Kimebaki kuwa chama cha "kimafia" na sio chama cha wananchi.
Hizo ni hasira za kushindwa mkuu. Ccm ndio kipenzi cha watz
 
Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.

CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake.

Haina mpinzani,wengi waliojaribu wameshindwa kwasababu ni walaghai, walafi wa madaraka na wababaishaji.

Mtanzania kwa mfano hapendi kudharauliwa wala kupuuzwa. CCM ni dira,wengine wanafuata.
Umeamua kuandika njozi!!?? Kolimba alisema CCM imekosa dira kawekea sumu kwenye mic kwenye kikao cha CCM Kizota=Hii ni demokrasia.
Generali Imran Kombe mkuu wa usalama wa taifa alipoonyesha mapenzi kwa chama cha NCCR alipigwa risasi sita kifuani kama nguruwe na polisi waliotumwa na CCM= Hii ni demokrasia
Polisi waliotumwa na CCM walimpiga Dr Ulimboka, wakamuua Daudi Mwangosi, kumwagia tindikali Kubenea, wakatupa bomu kwenye mkutano wa CDM arusha. Kila mwenyekiti wa CCM akishauriwa kuunda tume huru anagoma hataki watu wake waovu wajulikane-= hii ni demokrasia.
Democracy my ass!!!
 
Ccm ndio tumaini la kweli la mtanzania maskini na mnyonge. Hakuna ubaguzi,hakuna matabaka,hakuna umimi kama wa chadema na vyama vingine.. Njoo ccm upate uhuru wa kweli

Acha kumkufuru Mungu wewe jua kali.hakuna chama kibovu afrika kama ccm na ndio maana Mungu kawalaani ikulu hakukaliki kila siku kiguu na njia kujikombakomba kwa weupe na wenyewe weshawastukia mazoba mpo wengi na ndio maana chini ya serikali yenu inayoongozwa na ccm ndege ya nchi nyingine tena ya jeshi inaingia kwenye ardhi yako na kuhujumu uchumi mfano kuchukua twiga walio hai, ndege zinabeba mchanga wa dhahabu eti mnadanganywa unaenda kupimwa na nyie mmekaaa doroooo mkitumbua mimacho haya embu tujibuni majibu mshapewa na wale chura wakihansi je yaani ipo siku mtaumbuka mchan kweupeee halafu mtakosa pa kukimbilia Mashujaa wa afrika ni hawa R.I.P Kamanda Gadafi, Mh Robet Mugabe, Poul kagame, R.I.P J.K.Nyerere, R.I.P Nelson Mandela Hao kwangu ni mashujaaa hata kama wana mapungufu ni kibinaadamu kwa sasa ccm ni kama pango humohumo kuna nyoka, mijusi wakubwa na wadogo, mbwa mwitu, mchwa nk.
 
(Well said...ccm ni nuru ing'aayo na ing'arishayo)QUOTE

Heri umaskini wa kipato kuliko umaskini wa mawazo na fikra kama huu wa kwako

Nina uhakika 100% kuwa wala hamna amani hata baada ya kuandika haya, hata mngeungwa mkono deep inside haiwafurahishi kwa sababu mioyoni mwenu mnajua kuwa mnajiongopea. ( hamuwaongopei watu, hasha, mnajiongopea wenyewe)
 
Huwezi kutembea bila ccm, utaumbuka
 
Back
Top Bottom