Exactly the opposite! CCM ndiyo Chama cha ovyo kuliko vyote duniani!
Nakubaliana na wewe mkuu ifweero :
Vyama vingine vya siasa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla vina mengi mazuri ya kujifunza kutoka CCM.
Huu ni ufisadi ndani ya Lumumba.Kama hii post ifweero kalipwa buku saba basi nashauri iundwe tume kuchunguza mchakato wa malipo Lumumba...Post za kihuni kama hizi ni lazima zipaziwe sauti kama malipo yamefanyika!
Wee Mangi vp weweee, acha kulala andika vya kueleweka[/QUOTE:screwy:
Multiple IDs
Nakubaliana na wewe mkuu ifweero :
Vyama vingine vya siasa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla vina mengi mazuri ya kujifunza kutoka CCM.
Well said...ccm ni nuru ing'aayo na ing'arishayo
Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.
CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake.
Haina mpinzani,wengi waliojaribu wameshindwa kwasababu ni walaghai, walafi wa madaraka na wababaishaji.
Mtanzania kwa mfano hapendi kudharauliwa wala kupuuzwa. CCM ni dira,wengine wanafuata.

Maskini wa fikra ni wewe unayekaa kufikria kuandika upuuzi tu ili upate buku 7 ya kuishi.Heri umaskini wa kipato kuliko umaskini wa mawazo na fikra kama huu wa kwako
Huyu si mtu mmoja jamani anyejitekenya na kujichekea mwenyewe!
Una uhakika na unachokiandika? au na wewe unafuata mkumbo?Maskini wa fikra ni wewe unayekaa kufikria kuandika upuuzi tu ili upate buku 7 ya kuishi.
Ni aibu kwa mtu anayejiita great thinker af unaandika upuuzi hivi. Wewe ni great sinker
Mimi nawashangaa wanaokulaumu wewe peke yako..... wanasahau kuwa hakuna mfuasi wa CCM mwenye akili timamu...Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.
CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake.
Haina mpinzani,wengi waliojaribu wameshindwa kwasababu ni walaghai, walafi wa madaraka na wababaishaji.
Mtanzania kwa mfano hapendi kudharauliwa wala kupuuzwa. CCM ni dira,wengine wanafuata.
Mimi nawashangaa wanaokulaumu wewe peke yako..... wanasahau kuwa hakuna mfuasi wa CCM mwenye akili timamu...