ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.
CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake.
Haina mpinzani,wengi waliojaribu wameshindwa kwasababu ni walaghai, walafi wa madaraka na wababaishaji.
Mtanzania kwa mfano hapendi kudharauliwa wala kupuuzwa. CCM ni dira,wengine wanafuata.