CCM ndani ya mgwanda?

kwa nn wasivae zile za rangi ya nzi wa chooni..? (kitalaam anaitwa nzi-ccm)
 
Wamependeza sana, tuache utani hizi gwanda zinapendeza.
 
Ukiona wametinga za cdm ujue wanaenda kukutana na vijana kwani bila hivyo hawatasikilizwa
 
Tusubire tuone mpaka 2015 mambo yatakuwaje,inawezekana wanajipanga ili CDM wawapokee hapo 2015!
KAZI IPO!
 
Wakuu, hizi NGUO ZA "MGAMBO" zilikuwa miaka kenda kabla ya hata CDM. Unakumbuka ile "lakuvunda halina ubani" pale UDSM miaka ya 80?
 
kama walivyozoea kudandia hoja za wenzao n a kudai wao ndo waanzilishi na sasa wanadandia gwanda za wenzao halafu mwisho wa siku watasema wao ndo waanzilishi toka enzi hizoo...
 
Mmehesahu kwa haraka vitambi ni vingapi na kwa nini vipo?
 
Hii ni moja ya dalili kwamba CCM inaongozwa na CDM!
 
kuna taarifa zilidai kuwa wanampango wa kubadili jina la chama au haya ndiyo maandalizi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…