CCM nchi nzima wanalalamika kudhulumiana.

Wapigane tu hakuna namna, chama chote kimeoza na Mwl alishawalaani hawa. Aliwaambia CCM hii siyo ile aliyoijua yeye, CCM ya leo ni magenge ya vibaka
Yelewiii parakwiiii Haya ni maajabuu
Na wewe umejitoa ccm??
 
Toto jizi likikosa cha kuiba nje basi litaiba nyumbani - ndiyoo lishazoea tabia ya wizi.
 
Kulalamika haitoshi yakunjane hai yatoke ngeu kabisa. Hakuna watu wapumbavu wa kushabukia ujinga kama fisiemu maslahi
 
Nadhani baada ya kesho CCM tutaanza hata kutekana..Maana shughuli zinazoendelea usiku kuhusiana na kura za maoni haziashilii mwisho mwema.
 
Ndo hapo utagundua huwa hawaendi bungeni kwaniaba ya wananchi Bali kwa ajili yao na familia zao binafsi
 
Huu uchaguzi wa ndani ndugai lazima atamzimisha mtu πŸ˜„
Ushauri tu kwa wanaochuana naye wawe wanavaa helmet ⛑️
πŸ˜„

Ova
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sasa kama wanadhulumiana wenyewe kwa wenyewe watashindwa nini kuwadhulumu ACT Wazalendo na CHAUMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…