Mkuu umefanya jambo la msingi sana. Hii nchi bila ya chadema ingekuwa pabaya sn. Angalia bunge la katiba sasahivi watu watu wachache bungen halina tena mvuto wa kuliangalia, wanaliendesha kibabe. Bila chadema/ ukawa hakuna katiba yenye maslai ya wananchi