CCM na watawala wake, msikilize Mwalimu Nyerere katika hotuba hii

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,585
Reaction score
103,414
Mnamuendekeza Mwaipopo and Co. Ltd, kuna siku yatatokea.

Uchawa ni sawa na ubaguzi wa dini maana Chawa wanawabagua wengine kuwa wao ndio wenye nchi na wengine ni "masalia"

Wana masikio lakini hawasikii Wana macho lakini hawaoni naamini wauwaji hawa mwisho wao ni mbaya sana
 
Mnamuendekeza Mwaipopo and Co. Ltd, kuna siku yatatokea.

Uchawa ni sawa na ubaguzi wa dini maana Chawa wanawabagua wengine kuwa wao ndio wenye nchi na wengine ni "masalia"

View attachment 3621408
Waziri wa mambo ya ndani mh.Patrobas Katambi aliona mbali sana na kuamua kuchukua hatua muafaka na uamuzi mgumu lakini wa maana na wa faida sana kwa waTanzania, na kudhibiti wachochezi kutokufikia nia yao ovu au kufikia hatua anayoieleza Baba wa taifa hayati J.K Nyerere kwenye video hiyo fupi.

Well done Dr Samia Suluhu Hassan, kutupatia waziri kijana na makini sana ndugu Patrobas Katambi katika kulinda amani, utulivu na umoja wa taifa letu.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Aiseee hivi wazazi wako wanajua Kama kazi yako ndio hii ndani ya CCM au unawadanganya kua wewe ni mjasilia Mali pale mtaa wa Congo?
 
Jikite kwenye hoja bila kumbwelambwela nonsense kwa mihemko useless jukwaani gentleman.

uko pointless dhidi ya hoja, si ukae kimya tu? Kuweweseka hivyo kuna expose ulivyo empty head tu🐒
 
Unatia aibu wewe gasho mbali na kutumika kinyume na maumbule pia unatumika Kama dampo wenzako wapo kimyaa na magorofa wanajenga wewe upoteza Malinda fanya kazi halali ujiingizie kipato utaepukana na hizi aibu WALIMTUMIA LIZABONI ALIPOGUNDUA HAKUONEKANA TENA LUMUMBA WALA HANA MPANGO NA AYO MAUWAJI MATEKAJI YANAJIITA WASIOJULIKANA SHITUKA HAYALA NA RAFIKI WA KUDUMU HAYO.
 
Back
Top Bottom