makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
CCM kwisha kazi. CCM wako mahututi ICU.CCM wanapumulia Oksijeni. CCM jeuiri kwisha!!!
Ziko wapi tambo na majigambo ya CCM waliyokuwa wakibwabwaja kwenye majukwaa kuwa watashinda kwa kishindo tena kwa asilimia 80%. Walikataa hata matokeo yao wenyewe ya kupikwa na REDET-71% na Synovate-62%.
Ewe dude CCM kuko wapi kujidai kwako na kutukana wapinzani kuwa ni KOKOTO,PHOTOCOPY, na oh wanataka kwenda Ikulu kwa First Lady wa kuazima na upuuzi wote mliokuwa mnaropoka dhidi ya Slaa na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.
Baada ya kupiga kura na matokeo kuanza kutangazwa CCM mmejionea wenyewe nani alikuwa anazungumza ukweli kati ya CCM na UPINZANI.Hamuamini kile mnachokiona na badala yake mmeamua kuchelewesha matokeo ili mpate kubadilisha matokeo kwa faida yenu. Watanzania wameamua kuwa HAWADANGANYIKI!!!!!!!!!!!!!
Jeuri yote imekwisha.Tuambieni mtaendeshaje nchi wakti mnataka kuingia Ikulu kwa kura za kughushi,kura za kuiba,kura za kuchakachua.
Kiwete,Makamba na Kinana jitokezeni muuleze umma wa Watanzania imekuwaje?
Je,huu ushindi wa 80% mliokuwa mnasema ulikuwa ni wa kupanga kwa KURA ZA WIZI au????
Kuna watu wengine Vichwa maji!!!fara wewe
hatuna imani na hata ccm waliyoshinda may be wanchi walikuwa lazy/hawakuelewa so wakachakachuliwa kirahisi, acha yale ya waliopita bila kupingwa. km mimi muongo toa ushahidi hawakuiba kura hao walioshinda! sasa itafuata mizengwe ya ccm kupeleka mahakamani wabunge wa upinzani kujaribu kuleta msukosukoOctober, acha kutupotosha. Chadema wana majimbo mangapi kuifanya ishinde uchaguzi huu. Nadhani haupo kabisa hapa TZ na hujui kinachopendelea.
Kwenye red, hiyo ni 'spelling mistake' au ni nickname mpya ya JK?!
ccm wamechelewesha matokeo na sasa wapo wanayapika jikoni! Mmepanga matokeo na kusingizia technology kuwa ndochanzo, shame on you ccm
CCM kwisha kazi. CCM wako mahututi ICU.CCM wanapumulia Oksijeni. CCM jeuiri kwisha!!!
Ziko wapi tambo na majigambo ya CCM waliyokuwa wakibwabwaja kwenye majukwaa kuwa watashinda kwa kishindo tena kwa asilimia 80%. Walikataa hata matokeo yao wenyewe ya kupikwa na REDET-71% na Synovate-62%.
Ewe dude CCM kuko wapi kujidai kwako na kutukana wapinzani kuwa ni KOKOTO,PHOTOCOPY, na oh wanataka kwenda Ikulu kwa First Lady wa kuazima na upuuzi wote mliokuwa mnaropoka dhidi ya Slaa na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.
Baada ya kupiga kura na matokeo kuanza kutangazwa CCM mmejionea wenyewe nani alikuwa anazungumza ukweli kati ya CCM na UPINZANI.Hamuamini kile mnachokiona na badala yake mmeamua kuchelewesha matokeo ili mpate kubadilisha matokeo kwa faida yenu. Watanzania wameamua kuwa HAWADANGANYIKI!!!!!!!!!!!!!
Jeuri yote imekwisha.Tuambieni mtaendeshaje nchi wakti mnataka kuingia Ikulu kwa kura za kughushi,kura za kuiba,kura za kuchakachua.
Kiwete,Makamba na Kinana jitokezeni muuleze umma wa Watanzania imekuwaje?
Je,huu ushindi wa 80% mliokuwa mnasema ulikuwa ni wa kupanga kwa KURA ZA WIZI au????
CCM machoko tu!!
Kwanza kura za urais vipi?
Hee hivi huyu chizi katoka wapi tena???
Au macho yake yanaona "upside down" niniiii?????
Kwani hadi sasa ni chama gani kinaongoza viti vya ubunge??? Jamani msaidieni mwenzenu huyu inaelekea haoni vizuri au tv yake inanasa somalia.
mpaka sasa kati viti vya ubunge vilivyowasilisha matokeo yake ni 77 ambapo CCM inaongoza kwa viti 49, wewe uko wapi??
Angalia usije kushangilia goli la kujifunga mwenyeweeee
Kalagabaho