Umenena vema ila kwako ni amani fair enough, upo salama na wapendwa wako, familia za Azory, Mawazo, Saanane, Akwilina etc etc zinahitaji ukweli ili waweze kufanya closure kuhusu wapendwa wao, nchi ili tuweze kuwa na Amani ni lazima ukweli uwepo sio kufukia chini ya zuria,Amani yes ila iwe ya ukweli sio plastic one au fake.