CCM na ubunge Mbeya watatu wazidi kufanya vizuri

lusaka city

Senior Member
Joined
Mar 17, 2015
Posts
146
Reaction score
116
kampeni za ccm mbeya zazidi kugubikwa na vioja zaidi kufuatia kila mgombea kuwa na aina yake ya kuomba kura.baadhi wamejikita zaidi katika sera wachache wanaoendelea kufanya vizuri ni pamoja na michael joseph mbuza,mwaiteleke na shadrack makombe,ingawaje makundi mbali mbali yaibuka ndani ya chama kufuatia kila mmoja kuwa na wafuasi wake.rushwa ni tatizo kubwa katika kampeni izo zinazoendelea kwani kuna baaadhi ya wagombea wamwaga pesa mchana kweupe hii ni kutokana na wale wagombea wenye nguvu zaidi na wafuasi wengi kama shitambala,mwakipesile,kajuna amani,nwaka mwakisu ambao moja kwa moja wamekua wakitupiana maneno na kulalamikiana.........
 
CCM wakitaka walete upinzani wa maana wamuachie hiyo nafasi huyo Sambwee Shitambala
 
CCM wakitaka walete upinzani wa maana wamuachie hiyo nafasi huyo Msafwa Sambwee Shitambala

ukabila hausaidii.
hao wasafwa wako milimani mbeya vijijini.
hapa mjini kuna wakinga wawanji na wanyakyusa.
na wakitaka washindwe kabisa waanze ukabila.
Sugu hamuwezi kumtoa kwa ukabila.
 
Sina uhakika na record yako hapo, lakini nijuavyo majority ya wakazi wa Mbeya Mjini ni wasafwa, naweza kuwa wrong maana miji inakuwa kwa kasi na Mbeya sasa ni metropolitan city.

Miaka ya nyuma ilikuwa ukigombea na msafwa Mbeya huwezi kumshinda maana walikuwa wanabebana sana haswa dhidi ya Mnyakyusa, walikuwa kama maadui wa jadi hivi, ilikuwa ni rahisi kwao kumchagua Mkinga lakini sio Mnyakyusa.Nimeona hapo wagombea wa CCM wamejaa Wanyakyusa hapo.Hizo element japo zitakuwa zimepungua lakini ni mapema sana kusema kuwa zimekwisha kabisa, zitakuwepo.

Pamoja na hilo ukiwaangalia hao wagombea japo kwa haraka haraka hapa http://harubutz.blogspot.co.uk/2015/07/mbio-za-kusaka-ubunge-kupitia-ccm-joto.html, sioni yeyote mwenye uwezo kisiasa wa kupambana na Chadema zaidi ya Sambwee Shitambala, akiteuliwa Sambwee naamini pambano lake na Sugu litakuwa gumu sana.Namfahamu vizuri Sambwe na umakini wake kisiasa.
 
pelekeni ukabila huko sugu ndiye mbunge

Unapojadili kitu hasa kisiasa angalia angle zote za kisiasa.Siasa ni watu, demographic ni kitu muhimu pia kuangalia kwenye siasa hasa kama watu wanajitambulisha hivyo,japo hiyo sio na haiwezi kuwa factor pekee.
 
Nashangaa watu wanaopoteza pesa zao kukimbilia kwenye ubunge wakati wanaweza kuziwekeza na kufanikiwa zaidi.
 
Sina uhakika na record yako hapo, lakini nijuavyo majority ya wakazi wa Mbeya Mjini ni wasafwa, naweza kuwa wrong maana miji inakuwa kwa kasi na Mbeya sasa ni metropolitan city.

Miaka ya nyuma ilikuwa ukigombea na msafwa Mbeya huwezi kumshinda maana walikuwa wanabebana sana haswa dhidi ya Mnyakyusa, walikuwa kama maadui wa jadi hivi, ilikuwa ni rahisi kwao kumchagua Mkinga lakini sio Mnyakyusa.Nimeona hapo wagombea wa CCM wamejaa Wanyakyusa hapo.Hizo element japo zitakuwa zimepungua lakini ni mapema sana kusema kuwa zimekwisha kabisa, zitakuwepo.

Pamoja na hilo ukiwaangalia hao wagombea japo kwa haraka haraka hapa http://harubutz.blogspot.co.uk/2015/07/mbio-za-kusaka-ubunge-kupitia-ccm-joto.html, sioni yeyote mwenye uwezo kisiasa wa kupambana na Chadema zaidi ya Sambwee Shitambala, akiteuliwa Sambwee naamini pambano lake na Sugu litakuwa gumu sana.Namfahamu vizuri Sambwe na umakini wake kisiasa.

Shitambalaa atafanya cdm washinde mchana kweupee kama hamjui siasa za mbeya muwe mnauliza shitambalaa bado watu wa mbeya wana chuki naer kubwa kwa hatua yake ya usaliti aliuza jimbo la mbeya vijijin kwa ccm na sasa hivi hakuna asie mjuaa kuwa msalit
 
Ni mar
kampeni za ccm mbeya zazidi kugubikwa na vioja zaidi kufuatia kila mgombea kuwa na aina yake ya kuomba kura.baadhi wamejikita zaidi katika sera wachache wanaoendelea kufanya vizuri ni pamoja na michael joseph mbuza,mwaiteleke na shadrack makombe,ingawaje makundi mbali mbali yaibuka ndani ya chama kufuatia kila mmoja kuwa na wafuasi wake.rushwa ni tatizo kubwa katika kampeni izo zinazoendelea kwani kuna baaadhi ya wagombea wamwaga pesa mchana kweupe hii ni kutokana na wale wagombea wenye nguvu zaidi na wafuasi wengi kama shitambala,mwakipesile,kajuna amani,nwaka mwakisu ambao moja kwa moja wamekua wakitupiana maneno na kulalamikiana.........

Ni marufuku mnyakyusa kutawala mbeya mjini na mbeya vijijini maana hiyo ni himaya ya msafwa
 
Back
Top Bottom