Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,832
Kuthibitisha hilo,
fuatilia ziara za waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba na utagundua mapenzi ya dhati ya mamilioni ya waTanazania kwa chama, serikali na viongozi wake. Watu wanajaa mno na hawajali jua wala mvua. Ni mapenzi na imani ya kiwango cha juu sana kwa chama na serikali sikivu ya CCM.
Lakini pia fuatilia mikutano ya katibu wa itikadi na uenezi Taifa ndugu Kenani Kihongosi utaona namna ambavyo wananchi wanajitokeza na kuonyesha mapenzi yao kwa chama, lakini pia uaminifu na imani yao kubwa sana kwa serikali iliyoko madarakani chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Hali hiyo inathibitisha pasina shaka kwamba CCM itatawala na kuiongoza Tanzania kwa miaka mingi mno ijayo kwasababu CCM ndio tiba na suluhisho la changamoto na matatizo ya wananchi.
View: https://www.youtube.com/live/ptKkX_lQFHU?si=ohjI1fGkU8xD7GaO