CCM na serikali yake msitufanye Watanzania wajinga,

CCM na serikali yake msitufanye Watanzania wajinga,

Kwanza kabisa nimpe pole Max kwenye hiki kipindi anachopitia na ujasiri anao uonyesha wa kutoteteleka kutoka kwa uonevu anaofanyiwa na utawala ulioamua kutokosolewa.

Nirudi kwa ccm,Ccm msitufanye watanzania ni wajinga au watoto kwa mambo mnayoendelea kuyafanya.

Naomba mnijibu maswali yafuatayo.

1: Kwanini Sheria ya Gesi ambayo ni rasilimali ya taifa mswada wake ulipitishwa kwa hati ya dharura?.

2 : Kwanini Sheria mpya ya Habari mlihonga wabunge milion 10 kwa mjibu wa Mbowe maana hamjawai kukanusha ili mpitishe haraka na ianze kufanya Kazi?...

3: Kwanini sheria ya mitandaoni (cyber crime) ilipitishwa kwa hati ya dharura tena usiku ?

Hivi sheria nzuri unawezaje kukipitisha kwa dharura?

Sheria nzuri inawezaje kuvunja matakwa ya katiba ya nchi ?

Hivi ni kipi kikubwa kati ya Sheria na Katiba?

Hivi sheria zinazowahusu watanzania zaidi ya Milioni 50 inawezaje kuchambuliwa na kupitishwaje na fisadi chenge tena kwa hati ya darura?......

Ccm muache Mara moja kuwafanya watanzania wote ni wajinga endeleeni kuwaburuza wajinga lakini watu tunaojielewa mtuache tufanye mambo yetu kwa Uhuru .

Mimi binafisi sitanyamaza,na sitanyamazishwa kuusema ukweli kwa kumsema mtu yeyote hasa wanaochezea amani ya nchi .

Ccm mkumbuke chuki mnayoipandikiza itawarudia nyie wenyewe kwa maono yangu.

"Love is the only force capable of transforming an enemy into a friend. Darkness cannot drive at darkness, Only light Can do that,And Hate cannot drive out hate, Only Love can do that"

Tuachieni Uhuru wetu wa kutoa maoni
Hakika umenipa raha leo. Laiti watanzania wote tungekuwa kama wewe, Watawala wetu wangekuwa na heshima.
 
Nchi hii inatafunwa na UOGA, UBINAFS na UNAFIKI.

Maamuzi ya kuzima jf yanawaumiza hata wanaccm, lkn UNAFIKIi, unawafanya wasipaze sauti. Lkn pia wanadhani hatua hii itakifanya chama hk na serikali yake kuwa salama (UBINAFSI). Umma haupigi kelele na hauchukui hatua stahiki kwasbb ya UOGA.
 
Yaanii tunalazimishwa kusema ndiyo ndiyo tu.

Tukioneshwa kuku, tukaambiwa huyu ni mbuzi hapana kusema siyo tuseme ndiyo ni kuku wakati tunamuona wazi kuwa ni mbuzi.

Kweli Tz ya jana siyo ya leo, tunarudi kwenye enzi za UJIMA
 
hivi kwa post hii na zingine za kipumbavu km hii Max atapata dhamana kweli?wewe unaitukana na kuikashifu serikali kwa vitu vya kusikia,, je kesho tukisikia umekatwa ukajieleze juu ya kauli zako,,je tutasema serikali hii ni dikteta?

Tatizo serikali ya hawamu ya 4 iliendekeza upuuzi wote huu na kuifanya taasisi ya uraisi kuwa km mjumbe wa nyumba kumi lakini kwa hawamu hii HESHIMA NA THAMANI YA TAASISI YA URAIS NA IKULU LAZIMA IRUDI!!!
Kwa kufanyia vikao vya chama ikulu?
Ushabiki sio mzuri.
 
Yaanii tunalazimishwa kusema ndiyo ndiyo tu.

Tukioneshwa kuku, tukaambiwa huyu ni mbuzi hapana kusema siyo tuseme ndiyo ni kuku wakati tunamuona wazi kuwa ni mbuzi.

Kweli Tz ya jana siyo ya leo, tunarudi kwenye enzi za UJIMA
Atashindwa tu mitandao sio Radio.....

Mawazo yake anafikiria hii nayo ni TBC....
 
hivi kwa post hii na zingine za kipumbavu km hii Max atapata dhamana kweli?wewe unaitukana na kuikashifu serikali kwa vitu vya kusikia,, je kesho tukisikia umekatwa ukajieleze juu ya kauli zako,,je tutasema serikali hii ni dikteta?

Tatizo serikali ya hawamu ya 4 iliendekeza upuuzi wote huu na kuifanya taasisi ya uraisi kuwa km mjumbe wa nyumba kumi lakini kwa hawamu hii HESHIMA NA THAMANI YA TAASISI YA URAIS NA IKULU LAZIMA IRUDI!!!
Ndio
 
Bora hata angefuata katiba sasa katiba yenyewe kaweka pembeni eti ananyoosha nchi...nonsense....

Afuate tuone kama inazuia hayo anayoyazuia ....

Nyie mnaomsifia ndio mnazidi kumpa kichwa azidi kuvuruga nchi....
Kwa habari zilizopo Chinook salmon ya meza vijana wa kanda ya pwani wamekasirika sababu mkulu kupanga safu ya uongozi bila ya vijana wa kanda hiyo hivo wakat wwte chama kitagawanyika
 
Kwa habari zilizopo Chinook salmon ya meza vijana wa kanda ya pwani wamekasirika sababu mkulu kupanga safu ya uongozi bila ya vijana wa kanda hiyo hivo wakat wwte chama kitagawanyika
Sijaipata hiyo kivipi? Teuzi?
 
Back
Top Bottom