Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
ktk utafiti uliofanywa na Ms Laura weinstein, msomi kutoka chuo kikuu cha California, Los Angels, aliyepobea ktk sayansi ya siasa, ktk study yake yenye jina lisomwalo THE POLITICS OF GOVERNMENT EXPENDITURES IN TANZANIA amesema Serikali chin ya CCM imekuwa ikipendelea maendeleo maeneo ambayo imekuwa ikipata kura nyingi zaidi wakati wa chaguzi zake, kwa wapiga kura wake, mkakati uliokuja fahamika km PUNISHMENT STRATEGY kwa lengo la kuja ongeza idadi ya kura kwa chama kwa chaguzi zijazo. WATANZANIA TUWE MAKINI KTK HILI..