CCM na propaganda za mwaka 1970 dhidi ya M4C

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
Juzi kulianzishwa thread moja iliyokuwa na kichwa cha habari " M4C DAR es Salaam from HERO........to ZERO" ikimuonyesha mtu mmoja aliekuwa akihutubia akidaiwa kuwa ni Godbless Lema huku kukiwa na watu wachache sana na akiimanisha kuwa chadema imeanza kuporomoka na haina guvu kabisa dar, huu ni uongo kabisa uliofanya na mwana-JF Jeykey .. ukiangalia kwa ile picha si ya Godbless lema kama mleta mada hiyo alivyotaka watu waamini, picha hiyo ni ya Mh Diwani wa kata ya Segerea Azuhuri Mwambagi, na kwa kujilizisha zaidi niliwasiliana na Lema na alisema hakufanya mkutano wowote jumamosi na zinazoonekana ni mikutano ya zamani ambayo haihusiani na M4C, picha hizo zimechukuliwa kutoka kwenye blog ya LUKAZA: FREDY MPENDAZOE AFANYA MKUTANO WA HADHARA TABATA LIWITI KATA YA SEGERA JIONI YA LEO baadhi ya picha za mkutano huo ambazo ndiyo zilizo tumika juzi kutaka kuwadanganya wana JF kuwa M4C imepoteza umarufu ni hizi:
 
Attachments

  • PICT0600.JPG
    PICT0600.JPG
    31.1 KB · Views: 66
  • PICT0587.JPG
    PICT0587.JPG
    75.1 KB · Views: 69
  • PICT0594.JPG
    PICT0594.JPG
    36.3 KB · Views: 79
  • PICT0606.JPG
    PICT0606.JPG
    35.6 KB · Views: 79
  • PICT0605.JPG
    PICT0605.JPG
    53.7 KB · Views: 109
  • PICT0619.JPG
    PICT0619.JPG
    56.7 KB · Views: 118
  • PICT0572.JPG
    PICT0572.JPG
    62.9 KB · Views: 85
  • PICT0627.JPG
    PICT0627.JPG
    66.1 KB · Views: 79
  • PICT0604.JPG
    PICT0604.JPG
    62.6 KB · Views: 60
Last edited by a moderator:
Utawaweza CCM kwa Fitna, mara wamuumize mtu Mabwe pande alafu wadai wanamfananisha na Hitler mara waseme Mmiliki wa Dowans hawamfahamu. Yaani ilimradi tu Taswira ya CCM ionekani nzuri.
 
Ahsante kwa taarifa mkuu,
Mimi nipo Jimbo la Segerea toka Kisukuru, Segerea,Tabata liwit,bima,baracuda,Mk,mawenzi an kimanga haukan kitu kama hiyo.
Cha msingi na mhimu kuelewa ni kuwa ccm wamekosa pa kushika kila tawi linatereza
 
Utawaweza CCM kwa Fitna, mara wamuumize mtu Mabwe pande alafu wadai wanamfananisha na Hitler mara waseme Mmiliki wa Dowans hawamfahamu. Yaani ilimradi tu Taswira ya CCM ionekani nzuri.

Na walipo muua Gen kombe walisema wamemfananisha na jambazi la magari...
 
Ahsante kwa taarifa mkuu,
Mimi nipo Jimbo la Segerea toka Kisukuru, Segerea,Tabata liwit,bima,baracuda,Mk,mawenzi an kimanga haukan kitu kama hiyo.
Cha msingi na mhimu kuelewa ni kuwa ccm wamekosa pa kushika kila tawi linatereza
Pamoja sana kamanda.
 
Back
Top Bottom