CCM na mmeguko huko zanzibar

CCM na mmeguko huko zanzibar

DURUYAPILI

Senior Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
132
Reaction score
47
CCM yaendelea kumeguka tena zanzibar, Juma muhamed ally atimkia Cuf. Hii imetokea jana huko zanzibar. Source magazetini rfa
 
...magamba yanachunika ngozi sasa...
 
CCM yaendelea kumeguka tena zanzibar, Juma muhamed ally atimkia Cuf. Hii imetokea jana huko zanzibar. Source magazetini rfa

Kila tukio la ccm kwasasa ni kuelekea katika kaburi la sahau, mpaka kufikia oktoba kitakuwa kama muathirika wa utapiamlo
 
Juma Muhamed Ally alikuwa nani naomba msaada nifahamishwe.
 
Dhambi ya kutaka kuvisambaratisha vyama vya upinzani imeanza kuwatafuna wenyewe.
 
Hata uchaguzi wa shirikisho umeshindikana kwa sababu ya hofu ya chama kumeguka. Na kitameguka kweli. Sawa kisimeguke ni kumruhusu mwanachama anayekubalika kupeperusha bendera. Hii ifanyike katika ngazi zote udiwani, mbunge na urais.
 
ccm wameshindwa kuongoza taifa letu pendwa.yaani tume ya uchaguzi inachofanya n majanga huko inakoandikisha wapiga kura. yaani watu wengi sana wanaachwa kwenye vituo kwa visingizio kwamba muda wa kuandikisha wapiga kura umeisha. tume hii ni majanga...ccm ondokeni salama mtuachie nchi yetu.
 
ccm mpitisheni lowassa maana anakubalika sana, na hapo campaign za UKAWA zitakuwa rahisi sana, najua Lema atazunguka nchi nzima kueleza madudu aliyofanya Lowassa.
 
CCM yaendelea kumeguka tena zanzibar, Juma muhamed ally atimkia Cuf. Hii imetokea jana huko zanzibar. Source magazetini rfa

Hali ya zanzibar iko wazi
Lipo kundi la ccm ambalo linaitii ccm bara si kwa faida ya wazanzibar,bali ni kwa faida ya familia zao na nafasi za utawala!

Kundi lavpili,ni lile linalotaka zanzibar kama nchi ipige hatua kimaendeleo!

Ccm inatatizo kubwa na imeridhisha jamii kuishi kws ubabe na kuwaogopa watawala.

Huna nafasi ya kushauri,criticism haipo ndani ya ccm,you must be a yesa man and not otherwise
 
Juma Mohamed ally alikuwa ni nani CCM Zanzibar..? au umeweka post umekurupuka kutoka usingizini...? Taarifa ambayo imetangazwa ni kwamba CCM Zanzibar imepata pigo kwa kada wake wa siku nyingi anaitwa Mohamed Hashim Ismail amejiunga na Cuf na anagombea nafasi ya uwakilishi Katika jimbo la dimani, kada huyu aliwahi kuwa MNEC, na naibu waziri katika awamu ya DR salmin, aidha alikuwa Kamishna wa Bodi ya mapato ZNZ kuanzia 2001-2013.
 
kwa hyo huwezi kuchangia bila kutoka povu kwanza? Maana ya jukwaa ni kushare ideas na pasipo kamilika mchangiaji anaowajibu wa kukamilisha hyo taarifa. Hii inaonesha ulvoduni katka kuvumiliana kimawazo.
 
Kumbe hata mwenzi hujafikisha humu jukwaani, endelea kujifunza
 
Back
Top Bottom