ccm na matamasha ya kinafiki kuhusu muungano

ccm na matamasha ya kinafiki kuhusu muungano

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
661
Ccm imekuwa mstari wa kwanza kuuvunja muungano na leo wanakuwa wa kwanza kuhamasisha muungano uonekane ujavunjwa.
Wakati wao wenyewe hasa raisi alicha zanzibar ikajitengenezea katiba yao ambayo imeipa zanzibar mamlaka kamili
Leo wameona kuwa watanzania umefahamu ujanja wao basi wana wahamasisha watanzania wenyeuwelewa mdogo kuhusu muungano kuwa aminisha wengine kuwa muungano ndiyo siraha kubwa itakayo tufanya tusigawanyike.
Wamekuwa na maandamano yasiyo kuwa na tija kuhusu kuimalisha muungano.
Wamekuwa na ujumbe mbali mbali na baadhi ya nukuu za waasisi wa muungano kuwaaminisha watu wasiuvunje muungano.
Ukingalia kwenye tv na radio zao wanazo miliki lakini kwa kulipiwa kodi zetu ndizo wanazo zitumia kuenenza uongo na kupotosha rasimu ya aliyo wakilisha mzee warioba.
 
Siipendi ccm, miaka 50 ya uhuru matumaini ya kuishi yanazidi kwisha
 
Kama na kwa imani iliyopo kwamba Mungu ni muweza...naiiombea CCM laana na kifo cha laana.....katika harakati na unafki inayoigiza....! CCM ni shetani na laana....!
 
Back
Top Bottom