"kwani hao mawaziri waliwekwa na vyama vya upinzani? Si mliwaweka nyie? Sini makada wenu? Sasa kwa nini km wanaharibu msiwatoe mnakuja kutulilia sisi wananchi? Vitambi vinazidi kuongezeka huku mnajidai mnawalilia wananchi? Inawezekanje wewe kuwa unaumizwa na matatizo ya wananchi huku kitambi kinazidi kuongezeka? kweli nape? Hulali ukiwaza namna ya kutatua kero za wananchi wakati huo huo likitambi linazidi kumea? Are you serious? C'mon let's be serious!"
Inatia moyo kuona kwamba kuna Wabongo kama wewe mnaoona madudu na kujitoa kuelimisha umma. Kwa kuongezea hapo ili kuthibitisha MAIGIZO ni kwamba hao hao ambao Kinana na Nape wanawalalamikia kuwa ni mizigo ndio hao hao wanaacha shughuli za Bunge na ofisi zao kuja kuwapokea katika majimbo yao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mimi nimesema na nitasema tena na tena CCM ni mahayawani na mtu anayewaunga mkono ni hayawani. Hawa mahayawani have never been serious. Wanacheza na ujinga wa wabongo PERIOD. Hadi Wabongo walio wengi tutakapotoka katika boksi la ujinga ndipo haya ma-beast yataacha MAIGIZO. We Angalia tu hata the so called mchakato wa Katiba mpya - ni MAIGIZO kwa kwenda mbele.