CCM na Magufuli ni Tembo na Mkonga wake

moghasa

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,084
1,253
kuna siku mama alinambia "mwanangu hata unifanyie mabaya kiasi gani siwezi kukusahau kwani wewe bado ni mwanangu " akaendelea kusema kuwa mtoto akimnyea mzaziwe mkononi mzazi hawezi kuukata mkono.
lakini pia TEMBO HASHINDWI NA MKONGA WAKE. Yote hayo ilikuwa ni kuthibitisha kuwa hana namna ya kunikana yeye kama mzazi.

Hiyo kauli bado imeendelea kunirudia hasa pale ninapozitazama sarakasi za CCM na Judo ya Magufuli sambamba na Taekwondo za upinzani.

sakata la Meya wa Kinondoni kutokuwepo kwenye uzinduzi wa the so called polisi mpya ( time will tell) ni ishara tosha kuwa CCM na mfumo wake ni mayopic au Blind kabisa! Wanashindwa kujua kuwa Boss wao mtarajiwa (sio m/kiti bado) hapendi hizo swagga.

Le Boss akauliza wapi Meya?
watu : eeeeeh iiiiih

CCM inashindwa kujua kuwa Magufuli hapendi (rejea kauli ya Magufuli wakati wa uchaguzi wa meya)
Lakini Magufuli pia anafanya maamuzi kwa kuogopa mzimu wa chama ( rejea hofu ya mikutano ya wapinzani)
imebaki tu CCM kuvumilia maamuzi magumu ya Magufuli kwani "mtoto akiunyea mkono husafishwa na sio kukatwa"

Shida kubwa ninayoiona kwenye siasa za waafrica tuliowengi ni kuwa zimejaa uafrika mwingi.

mosi: kuonyesheana ubabe kuwa nani zaidi.
pili: unatoka chama kinzani hunifai kwa lolote
tatu: ninamadaraka kuliko wewe, am the best "go to hell you looser "
nne : nina pesa ninaakili hunapesa you are kilaz.a first class.

hakuna kauli ambayo huwa siipendi kama Signature ya Nyani Ngabu kuwa "miafrika ndivyo tulivyo " sio kwa sababu yeye ni USA baby but I feel humiliated mimi kama mwafrika! Lakini kwa figisufigisu hizi za watawala na wapinzani!! shikamoo NN.


kama waafrika hatukuwa tayari kuwakubalia mabwana wakubwa wa UN the upumbavus baptized in the name of DEMOCRACY , tungebaki na mfumo wetu wa watemi na wafalme.

kwa huu ujinga " Mungu ungefanya jambo nizaliwe Tanzania tarehe 15 mei 3088.
 
k
hakuna kauli ambayo huwa siipendi kama Signature ya Nyani Ngabu kuwa "miafrika ndivyo tulivyo " sio kwa sababu yeye ni USA baby but I feel humiliated mimi kama mwafrika! Lakini kwa figisufigisu hizi za watawala na wapinzani!! shikamoo NN.


Naam, heshima mbele!
 
Back
Top Bottom