CCM na mafanikio ya kusaka kwa darubini

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,215
867
kwa kuzingatia kuwa serikali ya kikwete hakuna cha maana ilicho kifanya ambacho kinawagusa wananchi moja kwa moja , imeibuka na mkakati wa kuzunguka nchi nzima kuwalazimisaha wanachi waamini kwamba serikali ya kikwete imefanya meeeengi mema na maamuzi kibao magumu tu..kwa mantiki hiyo watanzania wengi ambao hawaoni chochote cha maan serikali ya JK imefanya tutaonekana tuna chuki, udini na (..)
 
Eti, jana nilikuwa namuona Nape na ngojera zake.....
Akiliinganisha vitu wakati wa uhuru na kabla ya uhuru na sasa.....
Analinganisha idadi ya shule kipindi hicho na sasa.... na tena akalinganisha barabara wakati huo na sasa....
Da hawa jamaa bwana......[SUB][/SUB]
 
Sijajua bado ni mtz gani hajui ilichofanya ccm wakati anajua anavyoishi tangu i=nchi hii ipate uhuru.......kila mtz anajua rasilimali tulizojaaliwa na mwenyezi mungu....sioni sababu ya ccm kuendelea kupoteza mabilioni (japo iliyachota kupitia kagoda na mikataba mingine feki)..................waache waende wakapopolewe mawe na watz wenye machungu na nchi hii....labda waende miko a feki ile ya kupioga makofi hata pasipo sababu km vile mkoa wa pwani huko watapokewa na kupigiwa makofi ila kwingineko tusubiri matokeao................
 
Eti, jana nilikuwa namuona Nape na ngojera zake.....
Akiliinganisha vitu wakati wa uhuru na kabla ya uhuru na sasa.....
Analinganisha idadi ya shule kipindi hicho na sasa.... na tena akalinganisha barabara wakati huo na sasa....
Da hawa jamaa bwana......

Conclusion ilikua nini?
1. Bila shaka kusifia ukoloni kwa reli walizoweka na tumezitelekeza sasa.
2. Kutaifisha mashule ya mashirika ya dini na mahospitali huku tukishindwa kuweka shule na mahospitali bora kuliko walizoleta wamshionari

Alizungumzia kwamba shule za kata waalimu ni Form four failure ndo wanafundisha? WAkati zamani mwalimu lazima awe qualified?

Alisema watu wanaofaulu hawataki ualimu kwasababu serikali imewatupa kabisa? As a result wanao-opt ualimu kimsingi system inakua ishawakaaa kutokana na matokeo yasiyoridhisha?
 
wakuu, niwe mkweli mbele za mungu - ni kwamba sijaona kitu ambacho huyu jamaa kafanya kwa miaka yote aliyokaa ikulu. hii miaka 10 tutaijutia. Baada ya baba wa taifa walau Ben alifanya kazi inayoonekana hadi leo.

huwa akituokea kwenye TV tu - Fasta fasta nabadilisha channel - huwa napandisha hasira sababu hatendi anayoyaongea na hii ni mbaya hatutendei haki sisi wananchi. maisha yamekuwa magumu sana hadi kufikia wabunge wake wanagombania posho kupunguza makali.

Ukiona mbunge anagombania POSHO jiulize maswali magumu.
 
yaani ni kama kulinganisha urefu na umri wa mtoto toka amezaliwa bila kuzingatia kwamba hana elimu,afya chafu magonjwa kibao.
ccm bana kwishney.
 
Acheni uvuvuzela nyie nani kati yenu angeweza hata kufikia theluthi tu ya muda aliokaa madarakani JK mnafikiri uongozi ni rahisi ee huu siyo ukiranja wa shule kuongoza watanzania zaidi ya milioni mazezeta ni kazi ngumu jamaa kajitahidi saaana hapo alipofikia nyie mnambeza at least msifie kwa alichofanya na siyo unnennnjhsdgvsgv!!b!!b!bbb!b yenu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom