CCM na kifo cha mende

Hawajiamini hata inafikia hawa wamini wakurugenzi wa wilaya!!

Wanadai Wakurugenzi wote wa wilaya ni chadema! Mtu unajiuliza, wanakuwaje chadema, ili hali nyie ccm ndo mmewachagua after proper veting
 
Chezeya kamanda Nyerere weye
 
ni chama changu lakini nakiri kipo mbioni kufa....wapumbavu wanakiua
 
Yaani habari kama hizi huwa zinaukuna mtima wangu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…