CCM na kifo cha mende

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
1,530
Reaction score
1,121
Wadau juzi wakati CCM ikisheherekea miaka 35, Mr Lukuvi ambae anajiita mlezi wa CCM mkoa wa Mara alikuja Musoma na kuandaa mkutano maeneo ya nyakato, Ndugu zangu huyu jamaa alichoambulia ni aibu kwani aliahirisha mikutano miwili kutokana na kukosa watu na hata pale alipoweka kikao na wana ******* wenzake alipata wanamagamba kiduchu. haijulikani hata alipopotelea.
 
Mh!mwache apambane,si unajua yeye ni askari wa mwamvuli,so inabidi apambane mpaka dakika ya mwisho!
 
CCM wanaroho ngumu sana kama ya Paka vile.
 
Hawa watu wana ******* magumu kwerikweri tumewaambia huku hatuwataki wanafuata nini?
 
Kwa iyo sisiemu imelala mgongo chini tumbo juu au? Ndo kifo cha mende?
 
inamaana CCM mkoa walishindwa kutafuta malori kweli au.....
 
Asipokuwa makini atapasuka msamba,namchukia sana uyu mzee mana anajifanya anajua kilakitu
 
Malori yao yalikosa mafuta si unajua wanakabiliwa na ukata hasa baada ya ruzuku kupungua.
Inanipa raha sana kuona jamaa wanavyonynyaswa na nguvu ya uma
 
Hivi hivi watu wanaamka mwesho mende adondoshe kabati
 
Chezeya kamanda Nyerere weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…