Nami pia nimwona alipokuwa anatema pumba hizo.Nimestushwa na kushangazwa sana na kauri ya katibu mkuu mpya wa CCM bwana Wilson Mukama aliyoitoa akiwa Zanzibar akidai CCM ina itikadi ya ujamaa na kujitegemea na kutangaza ati CHADEMA hawana itikadi. Hivi kweli Mukama hajui kwamba itikadi ya ujamaa na kujitegemea iliuwawa hukohuko Zanzibar miaka ya 1990 kwakuliua Azimio la Arusha na kuruhusu ubepari wa kikasino kwa viongozi wa CCM kukusanya na kulimbikiza mtaji kwa njia yoyote ikiwemo ufisadi na kualika wawekezaji uchwara kutoka nje kuja kupora rasilimali zetu? Jamani, kumbe Makamba alikuwa bora kuliko hii takataka. Poleni sana wana CCM maana mmeletewa upupu utakao wawasha mpaka mfe.
SOURCE; Taarifa ya habari ITV saa mbili usiku (18.04.2011)
Can you spell.....uh..CHINA?Sioni hata chembe moja ya 'Ujamaa na kujitegemea' kwenye utendaji wa ccm. Unless wanaunza kesho. Shida ujamaa na uwekezeji mara nyingi havipatan. Confussion!
Can you spell.....uh..CHINA?
Nimestushwa na kushangazwa sana na kauri ya katibu mkuu mpya wa CCM bwana Wilson Mukama aliyoitoa akiwa Zanzibar akidai CCM ina itikadi ya ujamaa na kujitegemea na kutangaza ati CHADEMA hawana itikadi. Hivi kweli Mukama hajui kwamba itikadi ya ujamaa na kujitegemea iliuwawa hukohuko Zanzibar miaka ya 1990 kwakuliua Azimio la Arusha na kuruhusu ubepari wa kikasino kwa viongozi wa CCM kukusanya na kulimbikiza mtaji kwa njia yoyote ikiwemo ufisadi na kualika wawekezaji uchwara kutoka nje kuja kupora rasilimali zetu? Jamani, kumbe Makamba alikuwa bora kuliko hii takataka. Poleni sana wana CCM maana mmeletewa upupu utakao wawasha mpaka mfe.
SOURCE; Taarifa ya habari ITV saa mbili usiku (18.04.2011)
Msameheni kwani hajui atendalo maana anaonekana pia kama vile si mwenzao hata alipoteuliwa hakuwa na magwanda ya kijani