GE2025 CCM na harambee ya bilion 100 kwa ajili ya uchaguzi mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,403
Je kuna haja ya kufanya haya maigizo ya kijinga namna hii? Upotevu na ufujaji wa pesa na muda ?

Kwa uchaguzi upi lakini? Huu wa kiini macho uliokwisha malizika kwa kura za wizi?

Mabilioni yalishatengwa, mabilioni yalishakusanywa toka vyanzo tata na vyenye walakini mkubwa
Kuna wafanyabiashara wameshakamuliwa mamilioni na mabilioni kwa ahadi za kupewa upendeleo maalum kwenye mirafi ya serikali tenda na hata kodi.. Upendeleo maalum kwenye tunu za Tanganyika, kununua, kukodi kupanga nk

Uchaguzi ulishakwisha na kila aliyetoa pesa yake ashajua atairudishaje! Tena maradufu..!

Hiyo harambee ya Leo ni hadaa na kutaka kuwafanya Watanganyika ni wapumbavu sana!
Tayari walishamaliza kampeni zao kwa kusambaza mabango nchi nzima ya kusifiana! Ni nani anajua ile pesa ilitoka wapi na ilikuwa bei gani?

Vilichapishwa vitu mbalimbali picha ya mgombea wao na vikasambazwa bure nchi nzima! Je vyote hivyo viligharimu bei gani na toka chanzo gani cha mapato?
Kuna magari SUV

Kuna ma bus yutong zaidi ya 60

Kuna pikipiki.. Idadi haijulikani
Kuna baiskeli idadi haijulikani nknk

Kuna vikundi vya wapambe chawa na kunguni.. Vote hivi vilichotewa mihela toka vyanzo visivyojulikana!
Ni kichekesho na maajabu ya karne kuambiwa Leo hii ccm wanataka kuitisha harambee kuchangiwa pesa ya uchaguzi mkuu

Hiyo harambee ni changa la macho kutakatisha pesa zisizo safi

Watatuonesha wamezipata na kuvuka lengo ili kufanya justification ya kukubalika na kupendwa.. Kisha watazifuja zote ukijumlisha na zile bilion mia 7 za serikali/tume ya uchaguzi
Yaani kipindi hiki kuna watu wamekula mpaka wamezikimbia

CCM ishauriwe kwa weledi! Hakuna haja ya kuteketeza mabilioni ya pesa za Tanganyika na Watanganyika kwenye jambo bandia linaloitwa uchaguzi.. Wazinusuru hizo pesa
Zikasaidie kwenye afya

Kwenye lishe bora
Kwenye elimu ya viwango

Kwenye miundombinu imara nknk.. Kisha wajipitishe, wajichague mezani na kujitangazia ushindi maisha yaendelee

Inakera na kuumiza sana kuona Watanganyika million 60 na ushee tunafanywa wajinga na kikundi kidogo cha watu
 
Inakera na kuumiza sana kuona Watanganyika million 60 na ushee tunafanywa wajinga na kikundi kidogo cha watuView attachment 3438709
That is called Money laundering, CCM hasa wale Wahuni aliowataja Polepole wana ukwasi mkubwa ambao sehemu kubwa wamepata kwa njia nyingi haramu, kwa hiyo wanatumia CCM na viongozi wake kusafisha hizo pesa
 
NAONA SEREKALI YETU INAPATA TABU KWELI,KWA KIPINDI HIKI,MARA KODI KWA MAWINGA,MARA TRAFIC WAWE WAKALI KWELI MABARABARANI WAKIAMBATANA NA LATRA,KWANINI UCHAGUZI WETU USIWE KILA BAADA YA MIAKA KUMI?,ILI NDANI YA MIAKA KUMI SEREKALI IWE INATENGA BAJETI YA ISSUE ZA UCHAGUZI KIDOGO KIDOGO?,HILI MLIANGALIE😀
 
Wenye mawazo chanya hawapo madarakani😭😭😭
 
IMG-20250812-WA0004.jpg
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa ccm akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!. Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?

Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za
 
CCM walijimilikisha radilimali za umma kuwa vitega uchumi vyao.

Sielewi kwanini mwananchi mjinga achangie hawa watu.

Wanachota pesa za umma kwenye maswala yao ya chama, kwanini leo waje kuchangisha, huko nyuma walifanyaje?
 
Kama hizo 100b zisipopatikana kampeni hakuna au 😂
Kiini macho tu hakuna kitu hapo.. Jana wagawe mapikipiki na baiskeli na vipeperushi nchi nzima Leo wakose pesa! Wanatafuta justification ya kutapanya mahela ya dili
 
Kwani ule mkakati wa Samia Infrastructure Bond uliobuniwa kwa ubia kati ya Tamisemi na CRDB, pesa iliyokusanywa haitoshi kugharimia uchaguzi?
 
Je kuna haja ya kufanya haya maigizo ya kijinga namna hii? Upotevu na ufujaji wa pesa na muda ?

Kwa uchaguzi upi lakini? Huu wa kiini macho uliokwisha malizika kwa kura za wizi?

Mabilioni yalishatengwa, mabilioni yalishakusanywa toka vyanzo tata na vyenye walakini mkubwa
Kuna wafanyabiashara wameshakamuliwa mamilioni na mabilioni kwa ahadi za kupewa upendeleo maalum kwenye mirafi ya serikali tenda na hata kodi.. Upendeleo maalum kwenye tunu za Tanganyika, kununua, kukodi kupanga nk

Uchaguzi ulishakwisha na kila aliyetoa pesa yake ashajua atairudishaje! Tena maradufu..!

Hiyo harambee ya Leo ni hadaa na kutaka kuwafanya Watanganyika ni wapumbavu sana!
Tayari walishamaliza kampeni zao kwa kusambaza mabango nchi nzima ya kusifiana! Ni nani anajua ile pesa ilitoka wapi na ilikuwa bei gani?

Vilichapishwa vitu mbalimbali picha ya mgombea wao na vikasambazwa bure nchi nzima! Je vyote hivyo viligharimu bei gani na toka chanzo gani cha mapato?
Kuna magari SUV

Kuna ma bus yutong zaidi ya 60

Kuna pikipiki.. Idadi haijulikani
Kuna baiskeli idadi haijulikani nknk

Kuna vikundi vya wapambe chawa na kunguni.. Vote hivi vilichotewa mihela toka vyanzo visivyojulikana!
Ni kichekesho na maajabu ya karne kuambiwa Leo hii ccm wanataka kuitisha harambee kuchangiwa pesa ya uchaguzi mkuu

Hiyo harambee ni changa la macho kutakatisha pesa zisizo safi

Watatuonesha wamezipata na kuvuka lengo ili kufanya justification ya kukubalika na kupendwa.. Kisha watazifuja zote ukijumlisha na zile bilion mia 7 za serikali/tume ya uchaguzi
Yaani kipindi hiki kuna watu wamekula mpaka wamezikimbia

CCM ishauriwe kwa weledi! Hakuna haja ya kuteketeza mabilioni ya pesa za Tanganyika na Watanganyika kwenye jambo bandia linaloitwa uchaguzi.. Wazinusuru hizo pesa
Zikasaidie kwenye afya

Kwenye lishe bora
Kwenye elimu ya viwango

Kwenye miundombinu imara nknk.. Kisha wajipitishe, wajichague mezani na kujitangazia ushindi maisha yaendelee

Inakera na kuumiza sana kuona Watanganyika million 60 na ushee tunafanywa wajinga na kikundi kidogo cha watuView attachment 3438709
ama kwahakika,
jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza 🐒
 
Mlisema hamshiriki sasa nini kinawawasha huko mtaroni

USSR
 
Back
Top Bottom