hii thread yako haina mshiko tafuta wakina rejao wachangie huu umbea wakoWatanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Kama sio shinikizo la upinzania angevunja hilo baraza acha kukurupuka .
....B magamba wamemwaga hapa jamvini kwa wingi sana na hakuna wanachokifanya cha maana zaidi ya kukurupuka tu.
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Huyu jamaa aliyeleta hii thread ni mbeya, pili hoja zake hazina mashiko. Kama baba Ritz kidume basi awapeleke mahakamani then awafilisi hao wezi.
Kwa ujinga wako unadhani hivyo! Kwani ni nani waliomlazimisha kuchukua hatua hiyokama siyo Peoples Power? Si alidengua dengua eti "Yatapita tu" alipoona moto unafukuta na kwamba hata yeye hakuwa salama ndiyo sasa anachukua hatua za zimamoto? Acheni kutufanya watanzania mateka wa undondocha wenu. Na kama unabisha subiri afanye mabadiliko ya kisanii sanii yasiyokubaliwa na Peoples Power uone jinsi wananchi watakavyowaendesha. Mna akili kweli nyinyi wa magamba au zimeishia wizi na ubakaji wa ngawira za masikini wa Tanzania? Na bado mtabadili hayo mabaraza na mwisho wake na huyo kibaka wenu wa pale magogoni naye atang'oka maana 2015 sikarne ijayo.Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.