CCM Mwanza yafanya maajabu

Mgojwa hata kama anataka kufa lazima umfariji.
 


Duh! haya ndio maajabu kweli Ukistaajabu ya CUF utayaona ya CCM. Kweli hiki chama kimezeeka maana hata wafuasi wake hata wakiwa na umri mdogo wanaonekana wazee kama picha zinavyojionyesha.

hali mbaya hv kwamba,ata shina unalifungua huku unaona soni,upinzani raha sana!
 
Mwamsaga,hako ka simu kako ndo kameweka hizo picha au umesaidiwa?
nakusihi achana na ccm itakuzeesha njoo kwenye uhai na uzima kaka
 
haya rudi kwa hao wana ccm chumia tumbo wenzako uwaeleze wazi wazi kwamba deni la taifa limefikia kiasi gani ili wajue kuwa wanadaiwa kiasi gani usisahau tembo nk ili wajue waadhimisha miaka 37 ya ccm kwa Staili gani bila kusahau tembo nk
 
COROLLA iliyochakaa hata uipake puti ya kijerumani ni sawa na bure !
 
Safi saana wazalendo tuko nyuma yenu,!

kelele za watafuna ruzuku na viongozi wao wakudumu hazina nafasi kwa watanzania wazalendo wenye macho ya ndani!

Aisee ccm mwaka huu hawatoki,yameshachoka bro
 
COROLLA iliyochakaa hata uipake puti ya kijerumani ni sawa na bure !

Au kama mtu kazeeka kazeeka tu,lazima afe ref. To mandela pa1 na kuwa pesa ipo,huduma zipo lakin ugonjwa wa uzee dawa yake ni kufa.Hivyo ccm dawa yao ni kufa tu,yaan hata wakipelekwa hosptl gani dunian,no chance to live.RIP ccm
 

mbona ni kama wanajenga kaburi la mpendwa wao?
 
Haya ndiyo maajabu, baada ya utawala wa miaka 52???!!! Ni maajabu kwa mjinga tu, mwenye upeo mdogo wa kufikiri, siyo mimi!
 
CCM bado tu wanajitambulisha?

Mkuu huu naona ni mradi wa kuelekea uchaguzi mkuu.. si unajua kuna mitandao kama minne huko ccm ambayo inataka uraisi..So kama wanavyofanya viongozi wao (Makonda.. Malecela.. Mgeja etc) nao wanachagua sides now.. Njaa hizi zilizochukua nafasi ya ubongo balaa..
 
Ninyi pakeni rangi sie tunaendelea kufanya mambo,ona sasa msingi wa shina umekamilika sasa hivi ,tunavyoongea mafundi wanakabidhi kazi kwa wanachama.😱na picha.


Sisi tuko huku Daima kijana!
Kama ni mbaya na acha iwe mbaya kudadekii!
 

Attachments

  • CHADEMA HATAUNIUE.gif
    6.2 KB · Views: 194
Barabara zimekuwa mbovu hasa toka Nyakato to Kangaye, igoma to Kishiri na mnakarabati upuuzi? Akili zenu mbovu sana
 
masikini ccm.wanakumbuka kuvuta shuka saa 12 asubuhi.
 

nipo kitandani nimelala, lakini hii post yako imenifanya nicheke kwa sauti mpaka shemeji yako(my wife)kashtuka.dadeki magamba wanatia huruma kwa kweli.
 
Mwamsaga,hako ka simu kako ndo kameweka hizo picha au umesaidiwa?
nakusihi achana na ccm itakuzeesha njoo kwenye uhai na uzima kaka

mbona chadema ishakufa?.labda aende nccr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…