Hata hivyo wanatangaza wakisema " Katu hatutaongelea habari za CHADEMA na siasa siyo chuki". CCM wanawaogopa Chadema ile mbaya kwa sasa kisiasa na inaonekana CCM ipo kwa sababu ya polisi tu. kauli mbiu yetu kwa sasa kuelekea 2015 kama wanaCHADEMA ile "" STAAFISHA NA TAIFISHA CCM(walivyopora) KWA MANUFAAYA UMMA"".
Meya wa Makaratasi a.k.a meya wa udongo ,Matata , inasemekana atazungumzia utekelezaji wa Ilani ya CCM !
Maagizo ya kalumanzila
tatizo la research ya shule za kata