Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 897
- 559
Chama Cha Mapinduzi CCM kinafanya mkutano wa wazi hapa Mwanza viwanja vya Ng'okozi ila cha ajabu mpaka sasa hakuna mtu ila ni mabalozi baadhi na wengine ni makamanda wamekaa kusikiliza. Ajabu ni kuwa kila mtu anaye pita anawacheka kana kwamba CCM ni machizi freshi hivi ni aibu Komba anatumbwiza wapita njia. CHADEMA imewakamata pabaya mkutano umetangazwa siku mbili, wazungumzaji ni watatu akiwemo mayor wa jiji la Mwanza akiongozwa na maandamano ya wafuasi wa CCM. Eti wanarusha roho.