Kwani mikutano ya HADHARA si imezuiwa au mimi ndio sifahamu??Wananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Sababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.
.......Mkuu unakumbuka ule usemi wa kizuri chajiuza!!!!
Mkuu wazo lako ni zuri sana na kwa sasa mambo ni fire chini kwa chini siunajua?Mwanza imepotea kwenye ramani ya siasa na wabunge wake wamebweteka huwaoni wakiwatete wapiga kura popote..wameshiba na kibaya zaidi wasukumu waliaminishwa kuwa wakimtoa Rais wataishi Kama malaika.
Upinzani ukianza kuwekeza upya mwanza wanaichukua mchana kweupa na maendeleo yatapatikana
tatizo ccm siyoMhe Mabula Mbunge wa Nyamagana hana tatizo. Ni Mbunge mzuri sana.
......Mwanza imepotea kwenye ramani ya siasa na wabunge wake wamebweteka huwaoni wakiwatete wapiga kura popote..wameshiba na kibaya zaidi wasukumu waliaminishwa kuwa wakimtoa Rais wataishi Kama malaika.
Upinzani ukianza kuwekeza upya mwanza wanaichukua mchana kweupa na maendeleo yatapatikana
.....Mkuu wazo lako ni zuri sana na kwa sasa mambo ni fire chini kwa chini siunajua?
No keep on the record of 2015 election ,Wenje rejected as a winner inspite of high scores.So could a picture above declare that ccm kwishaSioni kama kuna haja ya kufanya hivyo maana picha inajionyesha
Cath,watu wakawaida hawaipendi si watu wanaotegemea mambo yao binafsi yaendeDaaa hapa mwanza watu hawaipendi ccm
No keep on the record of 2015 election ,Wenje rejected as a winner inspite of high scores.So could a picture above declare that ccm kwisha
Kweli ni kigumu boss. Maana pamoja na kujitolea mfano kuwa kwenye chaguzi zilizopita sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila si kwamba nilimsusia niliyempigia kura nilienda nikapiga kura. Ila kwa ugumu wa kiswahili bado hujaelewa point yangu kuwa idadi ndogo/kubwa mkutanoni haimaanishi wapiga kura wachache/wengi haimaanishi umeshinda/shindwa. Ccm wanasuprice sana. Mm mwenyewe walishanisuprice sikuamini. Usidanganyike.Naona kiswahili ni kigumu sana.
Uzi unazungumzia kususiwa kwa ccm