CCM muwe na Huruma Namuombea Uteuzi Paskali.

CCM muwe na Huruma Namuombea Uteuzi Paskali.

Kweli CCM wanamkosea sana bwana Mayalla a.k.a Njaa(By Jiwe's voice).
Jamaa mpaka kajitoa kuwapinga viongozi wake wa kiroho kuitetea CCM bado CCM hawaoni🤔
 
Kwamba;-


Ukichukua nyayo ya mchanga wake,ukaweka kwenye maji tulivu chomboni kama bakuli,ukachukua kisu KWA manuizi ya kibuyu yanabadilika na kua dam sio!!?

Ukiyaonja machungu sio!!?

Unamaanisha HIVYO!?
Hapendeki[emoji23][emoji23]
Binafsi simpendi. Haijalishi pia hatonipenda ama lah. Ananifaham ama lah. Lkn mm simpendi. Ukiongezea na idadi zingine nyingi ndo hapo damu chungu inapokuja
 
Huyu ni kijana wenu.amekulia CCM na anaelekea kuzeekea CCM.

Kosa lake ni lipi ambalo linawafanya msimuone hata pale ambapo inathibitikq yeye anawapambania usiku na mchana kwenye majukwaa yote mitandaoni?

Mnaaacha makada kama huyo na mnaenda kuokoteza hadi walimu wanaoukataa uteuzi,lakini huyu Pascal Mayalla bado mmemfumbia macho!
Mnaaacha makada kama huyo na mnaenda kuokoteza hadi walimu wanaoukataa uteuzi,lakini huyu Pascal Mayalla bado mmemfumbia macho!

Sasa amejitoa mhanga kupingana hata na maaskofu wa kanisa na dhehebu lililomlea na kumkuza ilimradi tu CCM ipitishe DP-WORLD...

CCM mkumbukeni Pascali
Cc😡Pascal Mayalla
Wewe ni punguani, eti "Mnaaacha makada kama huyo na mnaenda kuokoteza hadi walimu wanaoukataa uteuzi,lakini huyu Pascal Mayalla bado mmemfumbia macho!"
 
Huyu ni kijana wenu.amekulia CCM na anaelekea kuzeekea CCM.

Kosa lake ni lipi ambalo linawafanya msimuone hata pale ambapo inathibitikq yeye anawapambania usiku na mchana kwenye majukwaa yote mitandaoni?

Mnaaacha makada kama huyo na mnaenda kuokoteza hadi walimu wanaoukataa uteuzi,lakini huyu Pascal Mayalla bado mmemfumbia macho!

Sasa amejitoa mhanga kupingana hata na maaskofu wa kanisa na dhehebu lililomlea na kumkuza ilimradi tu CCM ipitishe DP-WORLD...

CCM mkumbukeni Pascali
Cc😡Pascal Mayalla

Umri umemtupa mkono,
Mzee baba P muhimu akubali tuu kuendelea kujipambania kitaa.

Ni mpambanaji Mzuri, haya mengi khs Uchawa ni sehemu ya upambanaji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini mbona amesema hataki teuzi?
Mwanasheria Mayala njoo huku brother umepigiwa promo uweke wazi tena msimamo wako tofauti na wanavyochukulia jina lako kuwa Mayala ni njaa.
Na ule ushauri wangu naamini unaukumbuka mkuu.
 
Back
Top Bottom