CCM muwe na Huruma Namuombea Uteuzi Paskali.

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,944
Huyu ni kijana wenu.amekulia CCM na anaelekea kuzeekea CCM.

Kosa lake ni lipi ambalo linawafanya msimuone hata pale ambapo inathibitikq yeye anawapambania usiku na mchana kwenye majukwaa yote mitandaoni?

Mnaaacha makada kama huyo na mnaenda kuokoteza hadi walimu wanaoukataa uteuzi,lakini huyu Pascal Mayalla bado mmemfumbia macho!

Sasa amejitoa mhanga kupingana hata na maaskofu wa kanisa na dhehebu lililomlea na kumkuza ilimradi tu CCM ipitishe DP-WORLD...

CCM mkumbukeni Pascali
Cc😡Pascal Mayalla
 
Lana ya kuwa dhidi ya dola yenye kuamua wakati kakulia KWENYE familia ya kitengo inammaliza!!

Alikua kwenye mfumo hapo Tbc lakini akawa team nywele nyeupe kimkakati akapishana na keki!

So sad!!
 
Huyu ni kijana wenu.amekulia CCM na anaelekea kuzeekea CCM.

Kosa lake ni lipi ambalo linawafanya msimuone hata pale ambapo inathibitikq yeye anawapambania usiku na mchana kwenye majukwaa yote mitandaoni?

Mnaaacha makada kama huyo na mnaenda kuokoteza hadi walimu wanaoukataa uteuzi,lakini huyu Pascal Mayalla bado mmemfumbia macho!

Sasa amejitoa mhanga kupingana hata na maaskofu wa kanisa na dhehebu lililomlea na kumkuza ilimradi tu CCM ipitishe DP-WORLD...

CCM mkumbukeni Pascali
Cc😡Pascal Mayalla
Wanadai anapiga sana gambe
 
Huyu jaamaa hata haelewki msimamo wake ndo maana hata wanaccm wanashindwa kumuamini
 
Huyu ni kijana wenu.amekulia CCM na anaelekea kuzeekea CCM.

Kosa lake ni lipi ambalo linawafanya msimuone hata pale ambapo inathibitikq yeye anawapambania usiku na mchana kwenye majukwaa yote mitandaoni?

Mnaaacha makada kama huyo na mnaenda kuokoteza hadi walimu wanaoukataa uteuzi,lakini huyu Pascal Mayalla bado mmemfumbia macho!

Sasa amejitoa mhanga kupingana hata na maaskofu wa kanisa na dhehebu lililomlea na kumkuza ilimradi tu CCM ipitishe DP-WORLD...

CCM mkumbukeni Pascali
Cc😡Pascal Mayalla
Ni Paschal Njaa
 
Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom