CCM must go for the year 2020!

Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
 
naona mawaziri na manaibu wao na wakuu wa vitengo wanapita tu kwenye hii thread kwa tahadhariπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni kweli kuwa kuna kura za chuki, na uchaguzi wowote hizo lazima ziwepo tuu. Wapo ambao 2015 hawakuipa Chadema kura kwa chuki za kuondoka kwa Slaa pia.
Kuhusu uchafu wa Lowassa mie sikatai, lakini ndio udhaifu wa CCM huo, mtu ni mchafu na wanashindwa kumshughulikia mpaka anasema hadharani kuwa kama unaushahidi twende mahakamani na bado wanapiga kelele kuwa huyo ni fisadi kama wapinzani wasio na serikali wanavyopiga kelele!
CCM imeshaondoka mioyoni mwa watu, na kama sio kutumia hila na nguvu hakiwezi kushinda hata kidogo, kweli ccm imefikia mahali kukodi watu wa kumshangilia Rais anapohutubia? Hata JK tuliyesema ana udhaifu mkubwa hakupata kufanya ujinga kama huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…