CCM Musoma kwachafuka

CCM Musoma kwachafuka

Masisiem ni mavi kunuka,yamebaki mafupa tu.
 
mwenye taarifa za kinondoni atujuze
 
umefanya uamuzi sahihi karibu kamanda tupiganie ukombozi wa nchi hii dhidi ya manyang'au hatari ya ccm.

Niliwahi kuwaonya mara kadhaa hapa ubungo lakini hawakutaka kunielewa,wakanisimamisha uanachama matokeo yake CCM ubungo inapumulia mashine muda wowote itakata roho
 
Nishaurini chama cha UKAWA cha kujiunga nacho , lichama la hila na fitna basi
 
La kuvunda halina ubani, kila kitu kina mwisho. CCM huko inakoelekea ikawasalimie: UNIP, KANU, na wazee wenzake waliotangulia mbele ya haki.
 
Cha kufurahisha ni kwamba sasa vijijini hawakubaliki tena
 
mbana JK hawajamwambia aachie ngazi uenyekiti taifa acha nao wakataaee tu ili wasiishie kufukuzana bali chama kisambaratike
 
Chama cha mapinduzi, musoma mjini kimepata mgawanyiko mkubwa baada ya kufanya vibaya kwenye chaguzi kinyume na matarajio,
Baada ya Mwenyekiti wa vijana kusimamishwa uongozi lawama pia zimemuendea mjumbe wa NEC na Mwenyekiti wa CCM wilaya, ndugu Daud Missango ambae anatakiwa kijitathmini na kuachia nafasi hiyo baada ya nguvu ya Chama hicho kikongwe kuporomoka kwa kasi
Katibu wa Mkoa ndg Ngalaw amekiri kuwepo na msuguano huo Ila amesema ni kawaida ya Chama makini kukosoana na kijupanga upya
Pia Mwenyekiti wa Uvccm aliyesimamishwa ndugu Shomolo Mohamed Ebutura amesema ni kweli amesimamishwa kwa muda ili kupisha uchunguzi wa tuhuma alizopewa na baraza Hilo mkoa
Chama cha mapinduzi kilifanyika vibaya kwa kile kinachoaminika ni rushwa katika kuwapata wagombea wa serikali za mitaa na mgawanyiko unaosababishwa na watia nia ya Ubunge
Kufikia mwezi march mwaka huu sijui kama watakuwa salama
 
Kesho DC ataanza kamata kamata ya vijana na Viongozi wa Chadema musoma kwa hasira ya ccm kufanya vibaya
 
Kesho DC ataanza kamata kamata ya vijana na Viongozi wa Chadema musoma kwa hasira ya ccm kufanya vibaya
Hongera wana mageuzi Musoma hivi chadema walishinda mitaa mingapi na CCM mingapi , hii inafurahisha kuona CCM presha inapanda presha inashuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom