CCM Musoma kwachafuka

CCM Musoma kwachafuka

mgeni wenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
3,664
Reaction score
1,731
Chama cha mapinduzi, musoma mjini kimepata mgawanyiko mkubwa baada ya kufanya vibaya kwenye chaguzi kinyume na matarajio,
Baada ya Mwenyekiti wa vijana kusimamishwa uongozi lawama pia zimemuendea mjumbe wa NEC na Mwenyekiti wa CCM wilaya, ndugu Daud Missango ambae anatakiwa kijitathmini na kuachia nafasi hiyo baada ya nguvu ya Chama hicho kikongwe kuporomoka kwa kasi
Katibu wa Mkoa ndg Ngalaw amekiri kuwepo na msuguano huo Ila amesema ni kawaida ya Chama makini kukosoana na kijupanga upya
Pia Mwenyekiti wa Uvccm aliyesimamishwa ndugu Shomolo Mohamed Ebutura amesema ni kweli amesimamishwa kwa muda ili kupisha uchunguzi wa tuhuma alizopewa na baraza Hilo mkoa
Chama cha mapinduzi kilifanyika vibaya kwa kile kinachoaminika ni rushwa katika kuwapata wagombea wa serikali za mitaa na mgawanyiko unaosababishwa na watia nia ya Ubunge
 
Nakufikilia wale waliokuwa wanadharau program ya Chadema nimsingi wakitaka zile pesa zijenge maofisi nadhani wameona shughuri yake.Sasa naona uwezekano wa Ccm kutuuzia au kutuachia hizo ofisi zinazoanza kufungwa hata kabla
 
Ccm na rushwa huwezi kuwatenganisha,wamemwaga sana hela lakini bado wametandikwa
 
Mizizi inaoza taratibu mwisho mkuyu unapiga Chini,ooh CDM kinakufa baada ya muda fulani,Sasa mi 2015 Naona CCM ndio inaelekea kubaya.
 
Naomba Kisife kabla ya uchaguzi mkuu, ili watanzania wakimalizie kwa mikono yao wenyewe
 
Wassira alisema Chadema inakufa lakini naona CCM ndio imekufa badala ya CCM
 
Hiki chama changu enziza mwalimu baada ya uchaguzi walikuwa wanasherekea ushindi lakini siku hizi duh ugomvi tu,hapa ubungo wamepigana uvccm
 
Chama cha mapinduzi, musoma mjini kimepata mgawanyiko mkubwa baada ya kufanya vibaya kwenye chaguzi kinyume na matarajio,
Baada ya Mwenyekiti wa vijana kusimamishwa uongozi lawama pia zimemuendea mjumbe wa NEC na Mwenyekiti wa CCM wilaya, ndugu Daud Missango ambae anatakiwa kijitathmini na kuachia nafasi hiyo baada ya nguvu ya Chama hicho kikongwe kuporomoka kwa kasi
Katibu wa Mkoa ndg Ngalaw amekiri kuwepo na msuguano huo Ila amesema ni kawaida ya Chama makini kukosoana na kijupanga upya
Pia Mwenyekiti wa Uvccm aliyesimamishwa ndugu Shomolo Mohamed Ebutura amesema ni kweli amesimamishwa kwa muda ili kupisha uchunguzi wa tuhuma alizopewa na baraza Hilo mkoa
Chama cha mapinduzi kilifanyika vibaya kwa kile kinachoaminika ni rushwa katika kuwapata wagombea wa serikali za mitaa na mgawanyiko unaosababishwa na watia nia ya Ubunge

Hawajajifunza kwa prof Muhongo bado? Kama bado ngoja niwasaidie kujibu mapigo: hajiuzulu mtu hapa kwani hili li chama sio mradi wetu. Mwenye mradi yuko kule magogoni. Hahahaaaaa
 
Arusha CCM imebaki majengo na uwanja wa mpira waliopora..... Kila mwanachama anaona aibu kujitambulisha kuwa ni mwananchama hai wa chama hicho kikongwe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom